Balaa..nadhani kuna raha kwa mjambaji hata kama ni mara mia kwa mfululizo..shida iko kwa wasikilizaji!
I like this ! Nimecheka sana leo kwani umenikumbushia consultant mmoja wa kizungu alikuja kutufanyia kazi ofisini kwetu, sasa sisi huwa tukijisikia ku-pumua tunaenda mbali na upeo wa masikio na pua za wenzetu (sometimes washroom), ila yeye alikuwa anaviachia tu tena kwa sauti kuuuuuubwa du!
Hivi na mimi niulize, kujamba kunaitwaje kwa kiingereza vile?
mamayangu mbavu zangu0Kutoa hewa chafu hakuenezi ugonjwa wa aina yeyote ile, ila unaweza kuwa na madhara kama mtakuwa kwenye chumba kisichokuwa na hewa ya kutosha, inaweza kupelekea kuzimia hadi kufa kama hali hiyo itaendelea.
mamayangu mbavu zangu0
nimecheka bila break aahh jf bwana kuna mambo, kuzim4ia hadi kufa!!!
Habari ndugu zangu, kuuliza si ujinga. Nafahamu takribani kila kitu kimtokacho mtu (hususani uchafu) kama mkojo, kinyesi, makozi, mate n.k hueneza aina fulani ya ugonjwa. Leo hii naomba kujua hewa chafu inayotoka kwa njia ya haja kubwa inaeneza ugonjwa gani? Dalili zake? Mbinu za kuzuia n.k. AMANI IWE NANYI! Naomba kuwakilisha