Kuiwakilisha JF Leo, Running To The Finishing Line!

kitu nilichokipenda kwa william ni uhubutu,kujiamin,na uwezo wa kumudu stress za jf...!

kila la heri
Humjui William wewe, wenzako moderators hapo wanakucheka tu, huyu huwa anapiga simu kabisa baadhi ya post zifutwe lakini huwa akikutana na Moderator ngangari huwa wanampotezea tu, huyu jamaa amezoea kule Facebook aki update status tu basi anagongewa LIKE na comment za kumtukuza, ukienda kinyume na anavyopenda yeye anadelete comment yako au anakublock kwenye friends wake.
Le Mutus, Le Baharia, Sauti ya Umeme, The Big Show, @ New York, USA!!.......kwa sifa hizo tu huyu jamaa anafiti zaidi kuwa Meneja wa Ngwasuma na wala si vinginevyo.
 
Bwana William,
Kumekuwa na taarifa nyingi kupitia vyombo vya habari asubuhi ya leo kuwa hili zoezi lenu limetawaliwa na mchezo mchafu wa rushwa mpaka chama kikuu cha upinzani kutaka kususia zoezi hili, wewe kama kweli umejengwa na JF (kwa maelezo yako) unaweza kutueleza wana JF umehonga kiasi gani cha pesa kwa hao waheshimiwa ili nawe upate kuwa mheshimiwa?

Taarifa ni kuwa jamaa alichangisha sana hapa Dar kabla ya kuelekea Dodoma........Kusaga mmoja wa wachangiaji wake wakubwa!
 
Nitawashangaa wabunge wakikuchagua wewe uliyeikimbia nchi na kuwaacha "watanzania" wa kweli wanaoishi hapa!
 
Sijawahi kuchangia chochote kuhusu mtu huyu, lakini baada ya kuona Ah ah ah zake nimeconclude kuwa hafai hata chembe, is'nt obvious kuwa ni opportunist ukianzia na ush.zi wake wa "Nassari Mungu ibariki Tanzania" my foot! Unajua anachosimamia Nassari?
He is very low and ambitious for all the wrong reasons.
 
- Well, thank you brother sasa lets hope for the best na tukipewa nafasi ninasema kwamba tutakwua makini kwa sababu ishus za land ownership, free flow of labour, one currency, na Federation ni very challenging I hope Wabunge wetu wanaelewa hilo, kwamba kwenye all Regional Intergrations in the World kwenye treaty zao kuna one same principle nayo ni kwamba kama one patner state is not satisfied na mwenendo wa any element in the Union, wana haki ya ku-pull back kwa muda mpaka watakapokuwa tayari na it is ok by all the treaties in the World.

- Ninasema ni muhimu sana kuwepo kwetu kwenye EAC, kwa sababu mfano wa United States wao kama sio Union walikuwa wamesshasmbaratishwa na The Great Depression na sisi tujifunze!

Thanks Mkuu!

William @Dodoma City!

Thanks mkuu, lugha mkuu! JF inasomwa na watu wengi duniani una hiari ya kuchagua kuandika kiswahili au kingereza, usinielewa vibaya lakini.
 
Kwa le mutu le baharia hamna kitu kabisa! Hata kila anachoandika hapa ni ha! Ha! Ha! Utafikiri ni kama vile jambazi kuu linavyocheka kwenye movie. We unafaa kuwa meneja wa wazee wa, Masauti,,wazee wa mujini wazee wa sugua kisigino etc lakini si ubunge wa ea.
 
- Well, thank you brother sasa lets hope for the best na tukipewa nafasi ninasema kwamba tutakwua makini kwa sababu ishus za land ownership, free flow of labour, one currency,na Federation ni very challenging I hope Wabunge wetu wanaelewa hilo, kwamba kwenye all Regional Intergrations in the World kwenye treaty zao kuna one same principle nayo ni kwamba kama one patner state is not satisfied na mwenendo wa any element in the Union, wana haki ya ku-pull back kwa muda mpaka watakapokuwa tayari na it is ok by all the treaties in the World.
- Ninasema ni muhimu sana kuwepo kwetu kwenye EAC, kwa sababu mfano wa United States wao kama sio Union walikuwa wamesshasmbaratishwa na The Great Depression na sisi tujifunze!

Thanks Mkuu!

William @Dodoma City!

Kuna hizi issues mbili kwenye red:
1. Ndani ya Tanzania na miongoni mwa Watanzania, hilo suala la land ownership limekuwa jiwe ndani ya kiatu. Watanzania wanalia, wanateseka, wanateswa kwa sababu viongozi wanawanyang'anya ardhi. Ukiniambia unakwenda kwenye jumuiya kulitetea hilo itaaminika kuwa unakwenda kuwatetea viongozi waliowanyang'anya wananchi ardhi ili waendelee kufanya hivyo bila ya kuwa na ushindani, na wala sio vyenginevyo.

2. Hilo la pili, bora ninyamaze kwanza; ninawasubiri Wazanzibari na Watanganyika wakusikie juu ya kipengele hiki cha "kama one patner state is not satisfied na mwenendo wa any element in the Union, wana haki ya ku-pull back", kwani tayari wengi hawako satisfied na mienendo kadhaa ndani ya union.

3. Bila kujali unamwakilisha nani, baina ya mimi na wewe, ninakutakia kila la heri. Sio mimi wa kukuhukumu kwa dhamira yako bali utahukumiwa kwa matendo yako.
 
- Ilipokuwa @New York City; mlipiga kelele sana kwamba ni ulimbukeni, now this time sijasikia anything toka iwe @Dodoma City, au? ha! ha! ha! ha! ha!

William.
Mimi bado naona ni ulimbukeni tu tena wa kitoto ujanja wa Form two, vile vile nikukumbushe kuwa si kila mji unaitwa City, Dodoma sio City dude.

Halafu naona biashara yako imeisha mapema zile kura ulizokuwa unazitafuta kwa kupiga picha na Nassari zimeyeyuka.
 
Sijawahi kuchangia chochote kuhusu mtu huyu, lakini baada ya kuona Ah ah ah zake nimeconclude kuwa hafai hata chembe, is'nt obvious kuwa ni opportunist ukianzia na ush.zi wake wa "Nassari Mungu ibariki Tanzania" my foot! Unajua anachosimamia Nassari?
He is very low and ambitious for all the wrong reasons.
.......................................
 
Wakuu wote JF, heshima mbele sana you know!

- Unajua hapa JF Kumkoma Nyani ndio our home, no matter what this is our sweet home it where we started our political inspirations, it is where we were taught how to argue kwa hoja, it is where we were taught TAIFA MBELE, sasa leo we are going to lay it all at the Parliament floor, SO HELP ME GOD! AND JF PRAY FOR US TOO YOU KNOW!

- NOW MY PEOPLE JF LETS GO, IF YOU KNOW WHAT I MEAN LEO JF UWANJANI; YOU KNOW I AM A JF PRODUCT AND PROUD OF IT AND HOPE THIS JUNGLE WILL PRODUCE MORE BRIGHT LEADERS IN THE FUTURE FOR OUR NATION; LOVE YOU ALL JF!

TAIFA MBELE! NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF! TUENDELEE KUKUBALI KUTOKUBALIANA KIHOJA!


William @Dodoma City!

Hapo kwenye red napata shida kidogo. Yaani uache ku-side na dingi wako magamba ujifanye ni product ya wanamageuzi... Hacheni hizo.

 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom