Wana JF nijulisheni angalau idadi tu ya wangapi walioitwa nichopendea JF ni kwamba kuna watu kweli wanatoa mambo ya maana but others wanatoa vitu vya uongo kabisa let us be serious kwani kujulisha habari mhimu ni vyema ukizingatia hali ngumu kwa sasa kuhusu ajira