Kuitwa kwenye Usaili NHIF

Mashirika ya kiserikali hata kwa mfano NSSF, PPF, PSPF na hata NHIF na mifuko mingine huwa wanachelewa kuwaita watu kwenye oral interview baada ya written interview, patients pays anza kujiajiri huku ukisubiria kuitwa kwa usaili.......
 
KUMBUKENI APPLICATION MLIFANYA NOVEMBA,
WRITTEN MKAITWA MARCH,,,,, countdown the same interval =desemba,Januari ,februari=march, haya sasa anza na machi= aprili,mei===........... ukikosa hapo.usiulize mtu ,nenda kalime hukoo kigoma na mtwara,na mara,na ngara, na kyela au katavi huko.utachagua mwenyewe
 
Wakulima nchini ndo matajiri na ndo wanaendesha uchumi kwa kiasi kikubwa we jishaue na kutokwa na povu paka wee
 
kama watu wanataka wawe matajiri kama wakulima kwann wanajazana kuomba NHIF .wewe umelima, ? watajiajiri wapi kama sio kwenda kulima maharage au mbogamboga? acha povu linitoke nawapigia kelele watu wakalime.na wewe nenda kalime huko kijijini kwenu
 
Dr.Dau,Litumba,Ridhimoko, Diamond ,Zari the bosslady wakulima hao?Mitajie wakulima matajir
 
MBONA BAADHI YA POST HAWAJATOA MATOKEO NA HAWAJAWEKA TANGAZO LOLOTE KUHUSU USAILI UNAOFUATA..
 
KUMBUKENI APPLICATION MLIFANYA NOVEMBA,
WRITTEN MKAITWA MARCH,,,,, countdown the same interval =desemba,Januari ,februari=march, haya sasa anza na machi= aprili,mei===........... ukikosa hapo.usiulize mtu ,nenda kalime hukoo kigoma na mtwara,na mara,na ngara, na kyela au katavi huko.utachagua mwenyewe
mnaikumbuka post yangu hii ya kuhesabu miezi ee,
 
nimewapigia leo huduma kwa wateja NHIF wamesema zile post zilizo sahaulika wataweka matokeo pia kuanzia wiki lijalo
 
duh,bora hata wewe umefanya hilo.,mi nilitumaga email kabla hawajatoa hizi za juzi.nlikuwa naogopa kutuma tena kuuliza ntaonekana msumbufu wasije wakafuta jina langu kuchujwa mapemaa.
 
Back
Top Bottom