Kuitwa kwenye Usaili NHIF

Mfano post ya compliance and field officer wameita watu 3088 wanaitajika watu 9.. hii ni hatariii
 
Kaka hapo nami nipo ila siwezi dharau na kujipa wakati mgumu kifua mbeleee naenda pambana hio 11 march
 
Ukweli ni kuwa idadi ya watu ni kubwa sana. Hata hivyo sio wote watakoenda kwani kwahiyo idadi kuna wengi tu watakokata tamaa.

Ila nashauri kila alopata hiyo fursa aende kwasababu kuu zifuatazo.

1: Lazima kuna watu wataajiriwa na hilo linaweza kumdondikea yeyote. Kwahiyo unaweza dharau ila ukashangaa ndio bahati yako.

2: Unaweza usifanikiwe kwenye.interview hiyo ila uzoefu utakaoupata hapo ukakusaidi kwenye interviews zijazo. Kuna maswali unaweza yakuta hapo na usiyakumbuke au kuyafahamu ila inaweza tokea kesho taasisi let say SSRA wametangaza kazi na ukakutana na baadhi ya maswali yanamna ile na ukashangaa umetoka.

3: Kwa hali ilivo hakuna namna interview zitakuwa na watu wachache. Nina uhakika hao NHIF wamejitahidi kupunguza idadi kubwa na hii tafsiri yake ni kuwa applicants walikuwa wengi hatari. Sasa kama hutaki kuhudhuria hii interview umeamua kujitoa kutafuta kazi kwani kazi nyingi bado zinaidadi kubwa ya applicants kwahiyo ukijitoa hapa ujitoee na zingine zijazo jambo ambalo siamini kama ni zuri.

NB: Interview ni gharama lakini jiulize juu ya opportunity cost ya kutokwenda then ndio utagundua umuhimu wa kujaribu. Kila la kheri kwenye interview......
 
Sasa kila mtu akiwa na hayo mawazo kwamba siyo wote watajitokeza its obvious mtajikuta wote mmenda
 
Mr mtui i tell you athing,kama kuna jambo unataka kufanya usisikilize maneno ya mtu,face the challenge, kuna msemo unasema THE HARD WAY IS THE ONLY WAY,face it and feel the music.
 
Mtoto wa Maskini Ukishafanya Interview Kwenye Mashirika kama hayo inakua imetosha majibu ya nini?
 
Back
Top Bottom