Kuitwa kwenye usaili kwa professionals waliiomba nafasi za kazi za Magereza za tarehe 18/04/2012

majorbuyoya

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,828
564
Ndugu wana JF, natanguliza heshima zangu kwenu. Nimeona tangazo la kuitwa kwenye usaili professionals walioomba kazi Magereza katika gazeti la Mwananchi la leo tarehe 17/06/2012. Kama uliomba tafuta hili gazeti na uangalie jina lako kama lipo kwenye short list. Nimeshindwa kuyaweka majina hapa, kwa yeyote atakayefanikiwa kuyaona anaweza kuweka majina hapa. Nawatakia mafanikio mema wote mlioitwa!!
 
Back
Top Bottom