Kuitwa kwenye usahili wa oral kesho tra

PETRONILA

Member
Nov 7, 2011
5
2
WANA JF NAONA JAMAA TRA WAMEANZA KUITA INTERVIEW YA PILI YA ORAL ITAKAYOANZA FANYIKA KESHO, KWA WALE AMBAO HAWAJAPIGIWA SIMU WASUBIRIE.:A S-coffee:
 
Dear Petrnia,we umepigiwa simu?na je interview inaanza Ijumaa au ilishaanza leo?watu wangapi wamechaguliwa?
 
one of my friend npo naye kazini alipigiwa simu kuitwa kwenye oral na hapa now yupo huko kwenye interview
 
wana jf naomba mnisaidie kwny interview ukiulizwa mambo yafuatayo utajibuje?

1.tell us about yourself
2. what are your strengths?

Ni muhimu natarajia kufanya ORAL interview j4 wiki ijayo ya TRA ndugu help me plz.
 
Wenye kujua wamsaidie mdau hapa jamani
 
wana jf naomba mnisaidie kwny interview ukiulizwa mambo yafuatayo utajibuje?

1.tell us about yourself
2. what are your strengths?

Ni muhimu natarajia kufanya ORAL interview j4 wiki ijayo ya TRA ndugu help me plz.

Ingia "www.careerride.com" wamejibu maswali common ambayo huulizwa kwenye interview nyingi
 
Thanks mdau, kwa kunidirect web ya masuala ya interview ngoja nika surf men... pamoja sana, nikipata TRA ntakukumbuka ktk ufalme wangu.
 
'ufalme wangu' ...yale yaleee. Wadau hizi ndio mbegu. M'buyu wa ufisadi huanza kama mchicha.
 
Thanks mdau, kwa kunidirect web ya masuala ya interview ngoja nika surf men... pamoja sana, nikipata TRA ntakukumbuka ktk ufalme wangu.
Utanipa FEEDBACK ka utakuwa ume~GAIN kitu kutoka kwenye hiyo WEB..Best Wishes
 
hi tmdau ile web imenipa mwanga sana ktk masuala ya usahili, thanks mdau, pamoja sana, kama tungekuwa na watu km ww 100 TZ, tungekuwa tumeishathubutu, tumeishaweza na kusonga mbele.lkn tatizo ni magamba. PEOPLEEEEEEES .........................
 
By TONGINDI
wana jf naomba mnisaidie kwny interview ukiulizwa mambo yafuatayo utajibuje?

1.tell us about yourself
2. what are your strengths?

Ni muhimu natarajia kufanya ORAL interview j4 wiki ijayo ya TRA ndugu help me plz.

DUUH KWELI WEWE NI KIBUYU....HOW DID U GRADUATE MY FRIEND?,I SUGGEST TO TAKE SOME MEMOZ WITH U AS USUAL
 
By TONGINDI
wana jf naomba mnisaidie kwny interview ukiulizwa mambo yafuatayo utajibuje?

1.tell us about yourself
2. what are your strengths?

Ni muhimu natarajia kufanya ORAL interview j4 wiki ijayo ya TRA ndugu help me plz.

DUUH KWELI WEWE NI KIBUYU....HOW DID U GRADUATE MY FRIEND?,I SUGGEST TO TAKE SOME MEMOZ WITH U AS USUAL [/B]
 
we ndo kilaza, nyie watu wa ccm aka MAGAMBA mna shida sana baada ya kutoa msaada unaleta majungu, tht z not fair men kuwa muungwana ndgu,hauitaji gharama yyte, usiwe km NAPE NAUYE,
 
tea wameita kwa posts zipi posts za preventive assistants tayari plzzz mwenye kujua aniambie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom