Kuitwa kwenye usahili NSSF

Usiniambie mkuu! Hebu ukifika ulizia na jina langu manake hata mimi niliomba kazi hapo nssf

nimepigiwa simu juzi ijumaa kutoka nssf nikitakiwa kwenda kwenye usaili jumatano luther house azania front. kwa hiyo sidhani kama watatoa shortlist kwenye media!
 
Mr. Dry, ukipata hizo news tuambie ni lini na wapi haraka sana

dah nisamehni kwa kutoa habari hii, nimewasiliana na jamaa aliyetoa nyeti na kusema ni yapo kwenye mchakato kwa kipindi hiki alikosea kunieleza tu, sorry wadau.......mjini shule!
 
nimepigiwa simu juzi ijumaa kutoka nssf nikitakiwa kwenda kwenye usaili jumatano luther house azania front. kwa hiyo sidhani kama watatoa shortlist kwenye media!

ni kweli hiyo? Ebu tuhakikishie,.kwahiyo tufunge virago vyetu wengine..mboni mbona?
 
Jamani ya kweli kwamba watu wamepigiwa simu kwenda kwenye interview?.ebu tujuzane vizuri ili sisi wakina kapuksoni tugeuke nyuma..hii ndo Tanzania bwana.
 
hongera mkuu.

Hebu tuelezeni vizuri jamani sijawaelewa hata mmoja...ni mmeitwa interview za NSSf au zipi???nmantuchanganya maana hatujaelewa?? na je mliopigiwa ni mllioomba nafasi gani??tujuzeni...sie bado tunasuribi kupigiwa simu....god bless..
 
Kuna udini sana pale nssf,angalia waajiriwa pale undugu na ukabila at its best.......wote ndg ndg pale ukiropoka umeliwa!!
 
Tuambie ni nafasi gani uliyoitiwa kwani ile ni ofisi kubwa na nafasi ni nyingi na kwa watu wa fani mbalimbali.Je wewe uko ipi?
 
Huyu aliyepigiwa simu ni mzushi...na isitoshe sasa hv hawapigi simu wanaandikia watu email na text messages....majina bado yapo kwenye mchakato na isitoshe kama usahili na written interview zinafanywa pamoja kwa post zote..sema za Operations watu waliiomba ni wengi kwahiyo mchakato unachukua muda sana...ACHENI UZUSHI NA KUWARUSHA WATU ROHO....Kwa wale ndugu zangu wanaosema pana udini na ukabila nafikiri ni fikra hasi...they ve to think bigger and better
 
uuh! atleast umenishusha pressure maana pressure ilikuwa up and down
 
Watu wanaturusha roho humu ndani, sijui kwasababu wanajua watu tumeomba, mara tuambiwe kuna udini mara hawaweki majina kwenye media, acheni hizo bana, wekeni habari zinazoeleweka. Thanks Komamanga kwa kutuelewesha, endelea kutupa updates ya kinachoendelea

Huyu aliyepigiwa simu ni mzushi...na isitoshe sasa hv hawapigi simu wanaandikia watu email na text messages....majina bado yapo kwenye mchakato na isitoshe kama usahili na written interview zinafanywa pamoja kwa post zote..sema za Operations watu waliiomba ni wengi kwahiyo mchakato unachukua muda sana...ACHENI UZUSHI NA KUWARUSHA WATU ROHO....Kwa wale ndugu zangu wanaosema pana udini na ukabila nafikiri ni fikra hasi...they ve to think bigger and better
 
wana jf walioitwa kwenye interview sio kwa post za NSSF ni SSRA,SOCIAL SECURITY REGULATORY AUTHORIT na sio NSSF.NA WATU WEMEPIGIWA SIMU KWA AJILI YA HIYO INTERVIEW ITAFANYIKA LUTHER HOUSE AZANIA FRONT.
 
nssf hawajaita bado ni chanzo cha uhakika kimeniambia kuna maombi kama ya elfu kumi na zaidi wameanza kuandikisha application
 
Hebu tuelezeni vizuri jamani sijawaelewa hata mmoja...ni mmeitwa interview za NSSf au zipi???nmantuchanganya maana hatujaelewa?? na je mliopigiwa ni mllioomba nafasi gani??tujuzeni...sie bado tunasuribi kupigiwa simu....god bless..

mimi sijaapply, nilikuwa nampongeza huyo jamaa mwingine
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom