Kuitwa kwenye interview

ulanzi mtamu

Senior Member
May 19, 2012
102
11
Last week nilipigiwa cm kuhudhuria kwenye usaili j5 then j4 nikapigiwa tna wakasema wameahirisha watanijurisha. NTAITWA?
 
Kwani hawakukwambia ni lini uende tena kwa Interview? Ni vyema ungepata details zao na pia wangekudokoza sababu za kuhairisha?
 
waliniambia kwamba ni muingiliano 2 wa ratiba pale oficn kwao so ntajurishwa na wala nicwe na wasiwasi..
 
Afadhali hawajakuita, ungefeli hiyo interview!
Maoni yangu: jifunze jinsi ya kujieleza vizur.
 
hawako serious hao... namshaka na competence yao kwenye hr profesional, huwezi kuitaita watu hovyo tu as if unaenda kunua chips bandani lazima wajue walitaka kuajiri mtu aliesoma, na ni muhimu kwa org yao. achana nao watakuja kukufastruate in future hao
 
Yani ni kama mwanzisha mada ameenda kwa mganga wa kienyeji alafu ndio anamuuliza hilo swali.
Kinachofuata mganaga atamwagiza jogoo ili achungulie kama ataitwa au la!
 
kweli wadau nimeamini comment zenu coz nimepeleleza na kugundua ile nafasi kuna m2 tayari kaanza kazi duuh!. bongo noma
 
Back
Top Bottom