Kuitwa kwenye interview TRA post za diploma

wakuu samahani hakuna link yeyote inayoonesha majina ya walioitwa kwenye interview? maana nna cousin wangu kapigiwa simu hakupokea rafiki zake wakamwambia ni namba ya TRA iliyokua ikiwapigia watu kuwaita kwenye interview
 
mwambie azamie tu au aende tra
 
Kumbe kuelewa nacho kipaji aisee,sasa hapo kinachokuchanganya nini?? Kwani ukifanya Leo interview na kazi ukaanza mwezi wa 9 kuna athari gani kwa zuio LA uhakiki??
Wewe sijui utakua una akili gani kumjudge mtu, haya mambo ya michakato ndo hatuyataki, kusubiri interview miezi 6 huu ni upuuzi na kupotezeana muda.
 
Jamani kama uliomba kazi tra post za level ya diploma kaa kalibu nasimu yako wameanza kuita (tax assistant,preventive assistant na custom assistant.
mimi naomba kujua wale walioomba kazi office assistant pamoja na records june 2016 ndo interview ilifanyika vipi hatima yetu?
 
Kwa waliofanya usahili wa mahojiano TRA post za diploma mwezi wa 7 kuanzia Tar. 3-5 yaani preventive,custom na tax assistant . Mwenye taarifa kamili kuhusu kuitwa kazini. Atuwekee humu.
 
Back
Top Bottom