Kuitwa kazini

uwiii! yaani umepata ofa ya ajira halafu kabla hujaanza kazi unatakiwa upate mafunzo ambayo mwajira wako anataka ulipie gharama ya mafunzo hayo..., huoni kuwa ni wizi na uwongo? halafu, hakuna utaratibu wa mwajiriwa kulipia gharama za training kwa kazi ya mwajiri unless kuna makubaliano mengine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom