Kuitwa kazini tume ya ajira

Islam

Member
Jun 22, 2011
40
40
Habari,

Tume ya ajira wametoa majina ya kuitwa kazini kwa mwezi huu wa kumi na mbili pitieni pitieni muone kama mmebahatika kwa kada mbali mbali
 
tume siwaelewi kabisa siku izi wanatangaza nafasi nyingi wanachukua watu wachache

walitoa maafisa utawala(15) na utumishi(40) wakaita wachache mwezi jana. nikajua mwez huu wataita waliobakia wameita tena wachache (utumishi).
 
Utumishi wanazingua, sisi tulio omba afisa tarafa wametusahau kabisa!
Kila wakiita kada yetu naona hawaiti!
 
Nahisi bajeti inabana ....cha msingi kuwa wavumilivu tu
 
Utumishi wanazingua, sisi tulio omba afisa tarafa wametusahau kabisa!
Kila wakiita kada yetu naona hawaiti!

Labda uhitaji ulikuwa mchache tofauti na watu walotangaza kuitwa...Mungu atafanya wepesi tu usijali
 
Back
Top Bottom