Kuitwa kazini NAO

bebiwilli

Member
Mar 4, 2011
70
16
habari zenu jamani,kuna mdogo wangu kapigiwa simu leo na sekretariate ya ajira ,kwa post zile za july 2011 za NAO za internal auditor ambayo interview ilishafanywa na watu 100 waliitwa kazini lakini yeye hakufanikiwa kupata, na akaambiwa awe stand by baada ya siku mbili atapigiwa simu ajira itakapo kuwa tayari,nahitaji kujua je kuna mtu yeyote yule naye kapigiwa? isije ikawa kuna mtu anamchezea, coz alipotaka kuuliza zaid akajibiwa asubiri atapigiwa simu ya kuitwa kazini,
 
Wewe shida yako ni mdogo wako apate kazi au ni yeye kuitwa na wengine? Kwa hiyo kama hakuna wengine waliopigiwa simu, akiitwa hataenda? Tumia akili acha ujinga, kila mtu na bahati yake. Sekretariat ya Ajira inaita watu hata waliofanya interview mwaka mmoja uliopita kulingana na mahitaji. wapo wengi tu wamefanya interview mwaka jana na wameitwa kuripoti kazini mwaka huu. Hata hapa ofisini kwetu tunao.
 
Yaa nadhani itakua ni kweli maana jana kuna mshkaji wangu nae kapigiwa juu ya post hizohizo na ktk kuwahoji wakamwambia anachotakiwa ni kusema kama yupo tayari then wamtumie barua ya ajira.
Aliulizia wapi wanampeleka wakamjibu kuwa huyo mpiga simu ametumwa tu hajui zaidi so asubiri barua itamuelekeza. What I guess may be there some successful candidates not reported at their stations.
 
thanks mkuu now napata uhakika,sio watu wengine unauliza kwa kuhitaji kujua,bt wanakudiscourage kwa kukuita mjinga.
 
kaka ni kweli sababu mshkaji nae kapigiwa cmu na NAO... so ni ukweli kwahiyo mwambie mdogo wako akae mkao wa kula....
 
Tumewapigia cmu kuanzia tar 28. Kuna baadhi ya watu hawakufika kwenye sehemu ya kazi walizopangiwa
 
Back
Top Bottom