Kuitwa kazini Equity Bank

cpb

Senior Member
Nov 1, 2014
156
87
Jamani kwa wale tuliofanya oral enterview ijumaa na jmosi iliyopita kuna watu wameitwa kazini maana walisema after two weeks wataita na leo ni j tatu mwenye taarifa atujuze
 
Achana na hiyo kitu
nakupa dili ya kipiga gebo
malipo ni makubwa kuliko kuwa mtumwa wa kibenki
 
Jamani mbona hamjibu swali langu inamaana forum nzima humu ndani hakuna aliefanya entervieew kule golden jubilee
 
Sjakuelewa bro na wewe ulifanya enterview
 
Watu humu ndani hawana akili hata kidogo kama kitu hukijui kwa nin uspite tu kimyakimya mim nmekwambia nataka gebo hata sielewi maana yake huna jibu kaa kimya mwenye taarifa atajibu
 
Watu humu ndani hawana akili hata kidogo kama kitu hukijui kwa nin uspite tu kimyakimya mim nmekwambia nataka gebo hata sielewi maana yake huna jibu kaa kimya mwenye taarifa atajibu

Wacha weee
 
Back
Top Bottom