Kuitwa kazin TRA

kiwembe1983

Member
Oct 18, 2011
20
13
habari zenu wadau..
kuna yeyote mwenye taarifa kuhusu ile Oral interview ya TRA iliyofanyika pale msimbaz centre 28/03/2012 ya nafas za customs officers(40)?Je watu wameshaitwa kazini?naomba mwenye taarifa ya uhakika atujuze kinachoendelea.
Aksanteni.
 
Mkuu nimekujibu tu kwa kuwa naona ni watu wengi wameisoma huu uzi bila kutilia mchango wao. Kwa kweli sina taarifa yeyote, ila kwa idadi kubwa ya watu walioifungua hii thread bila kuandika chochote, nahis hakuna ambae atakua na taarifa.
tuendelee kuwasubiry na kupeana taarifa vile vile
 
habari zenu wadau..
kuna yeyote mwenye taarifa kuhusu ile Oral interview ya TRA iliyofanyika pale msimbaz centre 28/03/2012 ya nafas za customs officers(40)?Je watu wameshaitwa kazini?naomba mwenye taarifa ya uhakika atujuze kinachoendelea.
Aksanteni.
why dont you think outside the box.tumeshaitwa kazini umebaki wewe mjinga mjinga
 
Yah mkuu tayari watu wameshapiga na Training ikiwa ni pamoja kupangiwa vituo vya kazi, Me kuna Binadamu wawili nawafahamu tayari wapo kwenye mchakato
 
why dont you think outside the box.tumeshaitwa kazini umebaki wewe mjinga mjinga

Kipilipi usiwe unajibu hivi mkuu, Next time utakuja wewe na problem zako unaulizwa and will tel you go ask ask ur mom bitc.h
 
Kwa muujibu wa mtu aliyepo humo Mamlaka walioitwa kazini nafasi za customs hivi karibuni ni wale waliofanya usahili December 2011. Waliofanya usahili March 2012 bado hawajaitwa.
 
Back
Top Bottom