Kuitosa ccm na jk octoba hii ni kumuenzi baba wa taifa

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
baba wa taifa alikuwa hakika mzalendo asiye na mfano,aliweka maslahi ya umma kwanza na kutufanya watz kujiona kama watoton wa baba na mama mmoja na chochote ndani ya tz ni chetu wote,ila sasa mambo yamegeuka kila aina ya uchafu upo hapa tz chini ya ccm na serikali ya jk,pl and plz waungwana,njia pekee ya kumuenzi baba wa taifa octoba hii ni kuinyima kura ccm,pamoja tunaweza
 
:llama:safari ya JK ni fupi mwisho wake haupo mbali sana. mbinu zote atakazozitumia Mwenyezi Mungu atzivuriga. sote tusema Amen. :decision:
 
Kwanza huyo jamaa uliyemtaja (mungu amuweke mahali panapostaili)ndiye chanzo cha uchafu wa ccm,kwahiyo ni bora kumpa kura Kikwete ili atupilie mbali yale mawazo ya zidumu fikra mbofumbofu za mwenyekiti!
 
Svizuri kumzungumza vibaya mtu wa kufa, lakini huyu babaako unaetaka kumuenzi Mungu awasamehe, Kajiunge na chadema huko ndio kuna sera zile za kinyerere, maamuzi yanatoka Vatican city.............
 
svizuri kumzungumza vibaya mtu wa kufa, lakini huyu babaako unaetaka kumuenzi mungu awasamehe, kajiunge na chadema huko ndio kuna sera zile za kinyerere, maamuzi yanatoka vatican city.............
ndio nyie mnaomuenzi nyerere kwa maneno na kuogopa kufanya hivyo kivitendo,hakika historia itawahukumu
 
Back
Top Bottom