Kuishi pamoja!

Dearest hii harddisk imejaa mpaka nadhani nimesahau kumbe nakumbuka!

hahahahahahha lol
judge kafa, mahakama imefungwa
kama unakumbuka kesi imeisha...
Ndo maana najivunia wewe eti
khaaaa mwenye swali anifuate..
 
hahahahahahha lol
judge kafa, mahakama imefungwa
kama unakumbuka kesi imeisha...
Ndo maana najivunia wewe eti
khaaaa mwenye swali anifuate..

Hahahaha mpnz usidhani ndo yameisha hapo.Gia tu ya kuingilia hamna..ngoja atafutwe jaji mpya uone kama wambea hawatalazimisha kesi iliyoisha ifunguliwe upya!
 
Hahahaha mpnz usidhani ndo yameisha hapo.Gia tu ya kuingilia hamna..ngoja atafutwe jaji mpya uone kama wambea hawatalazimisha kesi iliyoisha ifunguliwe upya!

hahahahah lol
duuuhhh tumekwisha
kama hiyo ndo ya kuingilia please usifike ya tatu..
mmhh ukiweka tano mmhh itabidi ni rudi twitter hahah lol
 
mimi naamini ukipata ubavu wako ambao mungu ndio aliokupangia, hata awe na tabia zipi au mpate misuko suko vipi mtaishi mpaka kifo kiwatenganishe. Tatizo ndoa za siku hizi ni za kulazimisha
Maty bana eti ndoa za siku hizi za kulazimisha yaani we mtu mzima unalazimishwa bado haijaingia akilini
 
" wanaume wote wamezaliwa na baba mmoja na mama mmoja" kwa maana karibia wote tabia zao zinafanana.

ngoja hembu tusikie watakavyosema!! wasije nitoa macho bureeee!!!!

we mwanamke Usinitanie! Pande zote zimeoza Sio Chadema Wala CCM wote ni wanasiasa na siasa ni mchezo mchafu kila mchezaji lazima aanagalie maslahi yake. Nashangaa unapoinyooshe Chadema vidole na kuwaacha ccm wenzio wakiruka ukuta na kurudi usiku wa manane.
 
hahahahah lol
duuuhhh tumekwisha
kama hiyo ndo ya kuingilia please usifike ya tatu..
mmhh ukiweka tano mmhh itabidi ni rudi twitter hahah lol

Haya ngoja nitulie nisije nikamfukuza ndege wa desh desh kiotani!
 
Lizzy sasa ina maana mnakuwa hamjakubaliana nyhe wawili?

Hata sijui..watafute wakina "ningejua nisingemuoa/olewa na fulani" ndo wengi hua wamelizimishwa/lazimishana kwa namna moja ama nyingine! Najua bana...mf.wale wanaooa/olewa bila kujali wanaeingia nae kifungoni maana wanachotaka ni ndoa tu wanakua hawajaelewana maana wanadhani wanataka ndoa kwa madhumuni yanayofanana kumbe sio.Hata matendo ndani yatatofautiana!
 
Hata sijui..watafute wakina "ningejua nisingemuoa/olewa na fulani" ndo wengi hua wamelizimishwa/lazimishana kwa namna moja ama nyingine!
Hao ambao huwa wanasema ningejua nisingeoa/olewa huwa nawaangalia tu,kuna rafiki yangu amekaa na GF kwa muda wa miaka 7 mwaka huu ndio wanaona na kuna rafiki yangu mwingine alikuwa na GF tokea first year walipokuwa chuo hadi wote wamemaliza na mwanaume akapata kazi baada ya hapo mwanamke akapata kazi wako kwenye mahusihano miaka 7 nao.
 
Hehhehe nimekusoma sasa....

Ahh kwa watoto wako inabidi uwe mkali mpendwa...hamna zaidi yao.
Alafu unajua ''wavumiliaji'' wa muda mrefu wengi wao hua wanawatumia watoto kama sababu tu ila ukweli ni kwamba hua hawafanyi kwaajili ya watoto ila kwaajili yao binafsi??Imagine mtoto anaposhuhudia mama na baba wakigombana kila leo...baba akileta mwanamke ndani au amempa dada mimba...baba akimpiga mama au hata na watoto huyo mtu anakua amesaidia vipi watoto??Mi hua naona ni ubinafsi tu tusiotaka kuukubali hivyo tunatumia watu wengine kusema navumilia kwaajili yenu....kumbe wao ndo wanavumilia kwaajili yako!

hakuna matendo nayalaani kama hayo esp la baba kunitwanga mbele ya wanangu, asubiri hata tukatwangane chumbani, kuna mambo magumu jamani kwenye familia ze2 hizi.
 
penye red nakupinga 100% tukiendekeza hayo mtakuja kukuta ndugu wanaoana,wakina mama kuwezeshwa hakumaanishi usiolewe,na hii naungana na wazee wa zamani kuwa mtoto wakike asisome,maana sasa hivi wamesoma na kupata kazi anataka wazae hovyo kisa anauwezo wa kulea hii ni hatari sana,cha msingi ni hivi semeni hamtaki kuolewa na msiwe na familia,


nani kakwambaia hajaolewa? nina familia kaka, inaonekana hujanisoma vzr...
 
" wanaume wote wamezaliwa na baba mmoja na mama mmoja" kwa maana karibia wote tabia zao zinafanana.

ngoja hembu tusikie watakavyosema!! wasije nitoa macho bureeee!!!!

Kwa hiyo wanaume wote wanafanana kwa tabia?
 
Back
Top Bottom