Kuishi na toto kama hili kazi!!!

wakuu mmenikumbusha skendo moja ilotokea Tanesco Kidatu. Kuna mzee mmoja aligundua kuwa ujauzito kisha mtoto alozaliwa na mkewe ilikuwani 'shughuli' ya mwanaume mwingine. Kwa kuwa aliyamjaza mimba mkewe alikuwa na mbuzi wengi, mzee wa kihehe hakuwa na taabu, alimuendea mume mwenza na kumwambia ampatie mbuzi 10, ili achukue mwanawe. Mume mwenza aligoma, eti aliogopa akidhani pengine jamaa anamtega ili akubali then amgeuke ampeleke polisi.
 
Back
Top Bottom