Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,583
LOL ilisema nani - Geoffrey Mmari?
Hapana...ilikuwa inaniambia eti nirekebishe. Jina sahihi ni Mathew Luhanga lol. Mijitu mipumbavu kweli ile. Hata haijui kuwa kuna balozi Nicholas Kuhanga (ambaye ndiye VC wa mwisho ambaye hakuwa academician) na Prof. Mathew Luhanga.
Nadhani Kuhanga na Luhanga ndiyo iliwachanganya.