Kuingiziwa vidole ukeni.

polee sana, next time usiende dispensary nenda hospital, hao wa dispensary ni M.O tu , unahitaji diagnosis by MD.

MO-medical officer MD-medical doctor. Kuna utofauti gani kati ya hizo mbili? May be u wanted to say CO.
 
madaktari wa nchii washenzi sana
eti vua nguo.panda kitandani

kabla ya kutoa order alitakiwa akueleze anataka kupima nini na kwa nini
na kama uko comfortable na kipimo
 
Msifanye utani kwenye haya maswala, hao wanaouliza ndio waliowazaa, fanyeni heshima kidogo.

mbona cjakuelewa bibie? Kwani waliotuzaa huwa hawahudumiwi,? Kuna vipimo vingine ni mandatory hospitali,huwezi kuniambia mtu ana pid na vaginal examination hujafanya. Sema ni makosa tu ya kutomwambia mgonjwa nini kitafanyika.
 
........Hiyo ni kawaida mbona, tena ukija kuwa mjamzito ndio kabisa, kama wewe unaona aibu bora kwenda kwa daktari wa kike. Vile vile usisahau kufanya pap smear, tunashauriwa wanawake kufanya kila mwaka hichi kipimo.
Tena siku ya kujifungua,Dr ndo anaingiza vidole,mara viwili,vitatu,vitano!Anamwita nurse ili afanye kazi yake,
 
mbona cjakuelewa bibie? Kwani waliotuzaa huwa hawahudumiwi,? Kuna vipimo vingine ni mandatory hospitali,huwezi kuniambia mtu ana pid na vaginal examination hujafanya. Sema ni makosa tu ya kutomwambia mgonjwa nini kitafanyika.

Naongelea wanoleta utani kwenye hii nyuzi siongelei "procedures" za kufanyika, hizo nnazijuwa kuliko unavyofikiria. Kuwa makini kidogo.
 
Amekosa sana. peleka kesi mahakamani. Ni sexual abuse, not more, not less!
Alikwambia anacho fanya? na alitoa sababu sa kufanya hivo? sio sawa kabisa!
 
mkuu shosti kuwa makini, siku nyingine utastukia badala ya kidole, abdallah kichwa wazi ameshaingia tigoni, hahahaa

Wewe utakuwa lini? Mtu ametoa tatizo wewe unaleta mzaha na ushauri wa maana huna. Siyo vizuri hivyo!!!
 
sheria ya wapi mama, acha kupotosha Dr yupo deep kuliko nesi, nurse yeye ni kwaajili ya care na kufanya yale anayoamliwa na Dr. In most case nurse receives orders from Dr, he/she do not have mandate to prescribe ndiyo maana nurse analala hospital akija mgonjwa Anamwita Dr aje kumwona na kuamua nini cha kufanya anafanya kile anachoamuliwa na Dr.
Nilichosema si kwamba nurse ni zaidi ya Doctor, lakini nijuavyo ukiacha kuchoma sindano katika cases nyingine inafaa awepo nurse katika maeneo ya aina hiyo ili kusaidia pia kufanya mazingira ya wenye tamaa yashindwe, kuwatetea hata katika mambo ambayo siyo ethical ni kutetea uovu, fikiria ndugu zetu wangapi wameshafanyiwa hivyo!
 
hii tabia ndo maana inanifanyaga nimpige biti my wife wangu kwenda kwa madokta wa kiume

LOL. Na hapo unadaiwa na rushwa kabisa kabla hajaingizwa vidole. Vipi na wewe mwenyewe unakwenda kwa madaktari wa kiume au wa kike? Moja ya sababu ya wanaume kutokwenda hospitali kuchekiwa.

"1) You are afraid we will put our finger in your butt. We will, especially if you are over 40 or have any complaints related to your bowel movements. Yes, you get a rectal exam after the age of 40 once a year for a feel of your prostate and so we can check your stool for microscopic blood that you can't see."

Ina maana kama uko 40 or above or utakapofikia umri huo utakuwa hufanyi rectal examination kila mwaka?

Nikirudi kwenye hoja, kabla ya kuingizwa vidole ukeni, daktari alitakiwa amweleze in advance and kupata consent ya mgonjwa. Na pia kama kutakuwa na maumivu yoyote during the examination. Pia mgonjwa alikuwa na option ya kudai kufanyiwa examination na daktari mwanamke (but what if there is no one?). Moja ya vitu ambavyo vilimkera zaidi mleta hoja ni kwamba daktari alivaa gloves. Ina maana alikuwa anataka asivae gloves?
 
Alisema amekerwa kwa 'kuvaa gloves na kuingiza vidole kwenye uke'. sio kuvaa gloves peke yake.
Hata kama hapakua na daktari wa kike, the least he could do was to have a female practitioner to audit the examination. Unamwambia tu kua unataka mtu wa tatu awepo and he calls a nurse. Alafu kwa kujua sababu za maumivu kulikua na njia zingine nyingi, sio hiyo tu...Hii ni sexual abuse EMT (tena agravated because the guy used the trust his patient placed on him as a gynecologist) . At least that is how I perceive it.
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Hapo kwenye red it could mean either way unless mleta mada a-clarify zaidi. Siwezi kusema whether or not ni sexual abuse because I was not there. Neither had I heard the story from the doctor, so I can make an impartial opinion. The facts provided by mleta hoja are also very limited to make an informed opinion.

Having said that unafikiri hata angeitwa nurse as a third party to witness the examination, it would have made a difference? Mgonjwa angelalamika maumivu, daktari angesema ni kawaida and there would be nothing a nurse working in our medical system could have done. A doctor may still fail to maintain a professional rapport with patient, uphold patients' dignity and respect their privacy even where there is a third party.

To me, I think it is a reasonable to perform a physical examination, including breast and pelvic examination, without the presence of a third party in the room unless the woman indicates a desire for one to be present. If the woman wants a third person to be in the room, her wishes should then be respected. To me it is for the doctor to maintain a professional rapport with his patient, uphold patient' dignity and respect her privacy even in the absence of a third party.

I think the goal here should be to engender trust and confidence between the doctor and patient in order to make patients as comfortable as possible. If the practice is to have a third party to audit such examination, how would the doctors feel? Not trusted? Insisting having a third person during examination may undermine the trust and confidence between the doctor and patient. In deed, for many patients, it turns out a third party can make them feel uncomfortable.

But kama daktari amekiuka ethics zilizowekwa then necessary actions should be taken.
 
I know some medical doctors wanalazimisha hizo examinations wakati hata sio lazima, so it is better to ask for a thisr party and risk making him feel uncomfortable rather than feeling abused kama mtoa mada hapo juu.
EMT, ungekua mwanamke you would know what it means. Soma walio changia before this and you will see that some actually think it is normal 'kuingizwa vidole'. well, it is not. and any examination that can be done through this palpation has a reliable (but costy) alternative. the patient has to be fully informed about them.
Wangekua wanazisema mwanzo ya examination ingekua sawa. sasa huyu kaumizwa, and she feels bad about that unnecessary intimate contact...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
.Wakati mwingine kuna masister do wanakuja wanaringa na dharau au warembo watu kama hawa wakija akikaa vibaya nampiga finger.
Baada ya kufuatilia mzaha tangu mwanzo hadi nilipokutana na maoni, nikasema, "yes, angalau mmoja amejibu ipasavyo. Lakini nipoona kauli yako hiyo hapo juu, umenivunja moyo kama daktari. Pamoja na kuwa umejitetea kuwa ulikuwa unafanya mzaha kwa kauli hiyo, nahisi hukupaswa kufanya hivyo kwani unalolisema wewe kuwa ni mzaha, madaktari wengine wanafanya ndio mchezo wao hivyo kuwaoneni nyote hamna maana.

baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke,
Naomba ushauri wa Dr.
Kwenye red: Kama alikuambia uvue nguo zote kwa kutaka kukuchunguza huko tu, huyo daktari kakosa maadili.
Kwenye green: Ijapokuwa uliudhika kwa daktari kuvaa gloves, huo ndio utaratibu na kinyume chake, kama asingevaa ingeeleweka vyengine.
Pole sana kwa yote. Kuna mashauri mengine mazuri humu, yafuate.
 
I know some medical doctors wanalazimisha hizo examinations wakati hata sio lazima, so it is better to ask for a thisr party and risk making him feel uncomfortable rather than feeling abused kama mtoa mada hapo juu.

Kama wanalazimisha, then that in itself is a breach of trust and confidence and you don't need a third party to be there to rectify this. I still think a patient should feel comfortable and also be free from any sexual abuse when they are with their doctors. Kama mgonjwa haji-feel comfortable akiwa na daktari unless kuwe na third party, then kuna lack of trust kwa huyo daktari or the medical system itself. So, the solution would not be to bring in third parties as it may even escalate the problem.

EMT, ungekua mwanamke you would know what it means. Soma walio changia before this and you will see that some actually think it is normal 'kuingizwa vidole'. well, it is not. and any examination that can be done through this palpation has a reliable (but costy) alternative. the patient has to be fully informed about them. Wangekua wanazisema mwanzo ya examination ingekua sawa. sasa huyu kaumizwa, and she feels bad about that unnecessary intimate contact...

I know what you mean, lakini nadhani hata kama angekuwa daktari mwanamke still angeweza kufanya hivyo hivyo. Angetumia gloves na kuingiza vidole kwenye uke and possibly kumwumiza mgonjwa huku akidai ni kawaida tuu. Kwani some of our midwives huwa wanasemaje wakati wa examination? Kwa hiyo, bado maswali ya mleta hoja yangekuwa yale yale hata kama daktari angekuwa mwanamke. Nayo ni:

1)Je ni utaratibu unaokubalika kutumia vidole kumpima mtu anyehisi maumivu ya kibofu?
2) Ni uchafu wa aina gani angeweza kuubaini kwa vidole vyake?
 
1)Je ni utaratibu unaokubalika kutumia vidole kumpima mtu anyehisi maumivu ya kibofu?
Ndio, ni utaratibu unao kubalika. anataka kuskia collar kama iko ngumu au imelegea, kama imefungwa au kufunguka. Pia anataka kupata sile secretions ili aone zinafananaje, and if possible what is the smell. vyote ni taratibu za kugundua mimba/STI (vyote husababisha maumivu sometimes). he is exluding all other diagnosis that are not urinal infection (which was likely in this case)
But narudi tena, mimba na STI vinaweza kuonekana kwa vipimo vingine (kama kupima sample ya mkojo)!
Na daktari alitakiwa kumpa other alternatives.
Hayo ya kusema kunatakiwa third party sio mimi tu. In some countries it has been made compulsory kwamba mwanaume akimpima mwanamke kwa njia hiyo lazima kuwepo mwanamke mngine to audit the procedure. Hii inasaidia ku discourage abuse. it is preventive and there is no need to feel offended about it.

2) Ni uchafu wa aina gani angeweza kuubaini kwa vidole vyake?
vaginal secretion, ni rahisi kuona kwa njia hiyo. bila kujua aina ya bakteria angeweza kujua if further analysis of the secretions was necessary.
Please JF doctors, correct me if I am wrong.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ILA MCSAHAU MAJAMAA WAPO KWENYE KAMGOMO so hata kama ni dispensary ila kumbuka hawapo kwenye 'mood' ! Ucshangae akikuambia lala na tumbo ajejuu! Oohooo.
 
ILA MCSAHAU MAJAMAA WAPO KWENYE KAMGOMO so hata kama ni dispensary ila kumbuka hawapo kwenye 'mood' ! Ucshangae akikuambia lala na tumbo ajejuu! Oohooo.

Kama hawapo kwenye mood basi wasifuate ethics zao?
 
sheria ya wapi mama, acha kupotosha Dr yupo deep kuliko nesi, nurse yeye ni kwaajili ya care na kufanya yale anayoamliwa na Dr. In most case nurse receives orders from Dr, he/she do not have mandate to prescribe ndiyo maana nurse analala hospital akija mgonjwa Anamwita Dr aje kumwona na kuamua nini cha kufanya anafanya kile anachoamuliwa na Dr.
Kuna manesi wana prescribe, nao wanaitwa nurse practitioner.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom