Kuingiziwa vidole ukeni.

Even when performed by a male Gynecologist the presence of a female professional (Med Doctor au hata Nurse) is required.
Furthermore walitakiwa kumwambia about all other alternatives that exist to that examination method...

Hii kitu inakera sana kwa sababu madaktari wengine wanachukulia ignorance and innocence ya dada zetu kuwafanya kama learning toys!!

Inakera sana,

Babu DC!!
 
Jamani jf kuna raha. wanaokosa nawaonea huruma huwezi kufika bila ya kucheka kunamtu kanifurahisha sana tu.
 
Kama kupima njia wakati wa mimba sawa ingawa sheria inamtaka mkunga wa kike afanye hivyo, ni wakati umefika sasa iundwe sheria kuwalinda wagonjwa na ikiwezekana mambo ya magonjwa ya wanawake na hasa yanayohusisha kufanyiwa mambo kama hayo yafanywe na Daktari mwanamke, siku hizi ni hatari maana watu wanatawaliwa zaidi na tamaa za ngono hata katika fani kama hizo nyeti, haipandi kichwani katika kipimo hicho alichofanya huyo daktari, na sheria ianataka nesi awepo katika mazingira kama hayo, inasikitisha sana, na kukatisha tamaa

sheria ya wapi mama, acha kupotosha Dr yupo deep kuliko nesi, nurse yeye ni kwaajili ya care na kufanya yale anayoamliwa na Dr. In most case nurse receives orders from Dr, he/she do not have mandate to prescribe ndiyo maana nurse analala hospital akija mgonjwa Anamwita Dr aje kumwona na kuamua nini cha kufanya anafanya kile anachoamuliwa na Dr.
 
Huu ni udharirishaji na wanaolitetea jambo hili wana matatizo ya akili, dada nenda tume ya haki za binadamu au TAMWA watakupa msaada zaidi lazima akamatwe huyo mshenzi kigunia
 
Inabidi nikasome gynaecology faster... (Maneno mengine yamepelekea BAN toka kwa mods)
 
Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke, kimsingi alikuwa ananiumiza, nlipo mweleza akaniambia hayo ni mambo ya kawaida huku, kisha akasema alikuwa anachek kama kuna uchafu.

Dada Kidafani, jamaa alikuingizia vidole vingapi? Nauliza hivi kwa sababu idadi ya vidole alivyotumia itasaidia kujua dhamira ya daktari kutaka kupata ufumbuzi wa tatizo lako na siyo kukuchezea?
 
kama mwanamke mwenzio hamna ubaya wowote usiwe na shaka. pia alikuwa anacheki kama una uvimbe ndani ndo maana vidole vikafanya kazi.

We JS acha bwana!? Kumbuka hapa suala ni mtu kuingiziwa vidole kwenye sehemu zake za siri. Kwa nini iwe sawa kwa mwanamke mwenzie?
 
Kwa mwanamke ukishasema tumbo linauma your very complex, kwa kawaida lazima akuulize kama kuna uchafu unatoka ukeni, unapokojoa mkojo unauma, unaharisha au unajua vidonda vya tumbo. Yote haya yanaweza sababisha maumivu chini ya kitovu.
Wanawake almost 90% ukitoka uchafu mweupe kama maziwa yaliyo ganda watakwambia uchafu wa kawaida. Infact hii ni fungus na inasababisha sana maumivu chini ya kitovu. Dr asipochunguza kwa kuweka vidole ukeni unaweza ukanywa madawa aina zote na usipone. Kwa hiyo dada hii ni kawaida. Juzi kuna dada kaja na maumivu kama yako na akiulizwa kama kunauchafu unatoka anakataa nilipompima nilikuta uji umejaa balaa sijui hata mumewe anaenjoy vp na ile miuji.
Lakini huruhusiwi kuingiza vidole kwa binti ambaye ni bikra coz eneo la ukeni huwa tunaamini ni safi na si busara kuvuja bikra ya watu.
Wakati mwingine kuna masister do wanakuja wanaringa na dharau au warembo watu kama hawa wakija akikaa vibaya nampiga finger.
Pole kama hukuandaliwa kawaida Dr anatakiwa kuseek consent kwako mpaka ukubali ukikataa harusiwi kukufanyia kipimo chochote bila ridhaa yako. Be blessed.

well said mate na pia ehically speaking Dr. alkosea kwa kawaida huwa tukifanya exam kama hiyo NI LAZIMA AWEPO NURSE PEMBENI ... sijui kwa sheria za TZ lakini huku ninapo practice medicine ndio ipo hivyo..
next time sis Kidafani omba nurse aje ni haki yako ..
 
Kwa mwanamke ukishasema tumbo linauma your very complex, kwa kawaida lazima akuulize kama kuna uchafu unatoka ukeni, unapokojoa mkojo unauma, unaharisha au unajua vidonda vya tumbo. Yote haya yanaweza sababisha maumivu chini ya kitovu.
Wanawake almost 90% ukitoka uchafu mweupe kama maziwa yaliyo ganda watakwambia uchafu wa kawaida. Infact hii ni fungus na inasababisha sana maumivu chini ya kitovu. Dr asipochunguza kwa kuweka vidole ukeni unaweza ukanywa madawa aina zote na usipone. Kwa hiyo dada hii ni kawaida. Juzi kuna dada kaja na maumivu kama yako na akiulizwa kama kunauchafu unatoka anakataa nilipompima nilikuta uji umejaa balaa sijui hata mumewe anaenjoy vp na ile miuji.
Lakini huruhusiwi kuingiza vidole kwa binti ambaye ni bikra coz eneo la ukeni huwa tunaamini ni safi na si busara kuvuja bikra ya watu.
Wakati mwingine kuna masister do wanakuja wanaringa na dharau au warembo watu kama hawa wakija akikaa vibaya nampiga finger.
Pole kama hukuandaliwa kawaida Dr anatakiwa kuseek consent kwako mpaka ukubali ukikataa harusiwi kukufanyia kipimo chochote bila ridhaa yako. Be blessed.

Huyu nidokta kweli.Mi nimeelewa.
 
Pole but u could hav gone 2 a gyno maelezo utayotoa ndo yatakayotoa mwelekeo wa kipimo kipimo kipi kitumike may b he needed 2 take a sample of the mucus inside,by da way i am sure dat, dat waznt the only way,may b he admired u..
 
Principles of medical examination: Inspection (kuangalia/kutazama), Palpation (kupapasa/kutomasa), Percussion (kugongagonga), Auscultation (kusikiliza). Any female patient with a gynaecological complaints anatakiwa afanyiwe vaginal examination also using speculum. Na male patient at the age of 45 years and above ni muhimu kupata digital rectal examination at least once a year!
Tatizo letu wa bongo hizo ni sehemu tunazoziita ni za siri, matokeo yake ndo maana tunakuwa na advanced cancers just kwa kuogopa hivyo vipimo.
 
Huu ni udharirishaji na wanaolitetea jambo hili wana matatizo ya akili, dada nenda tume ya haki za binadamu au TAMWA watakupa msaada zaidi lazima akamatwe huyo mshenzi kigunia

hujui nini unachoongea! Alichokosea jamaa hakumwambia huyo dada nin atamfanyia ili akubali au akatae. Kwa wale wafeminist ingekuwa bora zaidi mkipiga kelele na binti zenu wakasome medicine ili waje kuexamine wanawake. Hakuna procedure madoc wa kike huwa wanakwepa kama kumcheki sehemu za siri mwanamke mwenzie. Sijui ni kwa sababu wanazifahamu adha za huko! Aafu wadada mi nawashangaa sana wengine wanakuja hospital wakikuta dok wa kike hawaingii mpaka wakutane na mwanaume. Huku mnajidai mko sensitive sana na mambo ya jenda. Tutakutana labor!!
 
polee sana, next time usiende dispensary nenda hospital, hao wa dispensary ni M.O tu , unahitaji diagnosis by MD.
 
polee sana, next time usiende dispensary nenda hospital, hao wa dispensary ni M.O tu , unahitaji diagnosis by MD.

kwa hiyo unahisi atakwepa fingers au hatowekewa vidole maana MO na MD sawa tu ndio maana hawavai sare kama manurse..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom