Kuimarika kwa Shilingi ya Tanzania Dhidi ya Doller ya Kimarekani

Acheni ujinga mpaka jana jioni 1$ ilikuwa inuzwa kwa 1810, sasa what positive move, nisije nikawatukana bure.
 
juma3 ilikuwa 1830 jumanne kidogo ikashuka mpk 1630 yan wanatuua na pesa zao za kigeni
 
Sasa mkuu, ungejaribu kutafsiri maana ya neno kuimarika (huenda kuna kamusi mpya ya kiswahili) kabla ya kuandika kichwa hicho cha habari., maana yake hatukuelewi!!!!
 
Punguza ghadhab! Elimu haina mwisho.

elimu utumbo mi siitaki. unanchekesha! kwanza hicho ni kiswahili cha mazungumzo cha kenya, wengi hutumia dh mahali pa th, mfano dhamani, dhibitisha n.k. nakushangaa wewe unayeacha kuchangia hoja msingi, unaenda kwenye periferali ya hoja. au umetumwa kuharibu minakasha? unanchekesha!
 
Anaongelea shillingi ya Tanzania atusemee Kikenya? Kikenya huko mashada sio humu.
 
Anaongelea shillingi ya Tanzania atusemee Kikenya? Kikenya huko mashada sio humu.

faiza mbweha unanchekesha. mimi nazungumzia uzito wa hoja na wepesi hoja unazoanzisha wewe! suala hapa ni shilingi, sio kusema kikenya au kitanganyika! mwili kontena, akili kisoda!
 
Ndullu haeleweki anaposema kuwa illegal forex trading among commercial banks ndio inayosababisha thamani ya shillingi kushuka kwani kazi yake kubwa kama Governor ni kuhakikisha kuwa all commercial banks in the country practice responsible finance which means the banks act in the interests of their clients and the system, and that what they are doing is not just moving money around, but actually creating some economic value which will help in the growth of the economy which in the longer term will stabilize the shilling.Implicit in all this is the crucial role of supervising the commercial banks and other financial institutions.
 
Back
Top Bottom