Kuikomboa CCM: Watanzania huu ni wakati wa maamuzi magumu!

Ungekuwa na udhubutu ungeanza kumlaani M.kwere, kwa anayoyafanya, huoni migodi inavyochukuliwa holela huku wananchi wazawa wakiuwawa ama kukimbizwa katika ardhi yao wenyewe, ufisadi unaoendelea sasa nao ni Lowassa? madudu ya Ngeleja, Jairo, Luhanjo, Kawambwa, na Mkulo nayo ni Lowassa?

Tutajie CCM alie msafi then tukuletee profile yao, na usisahau Kumuorozesha J. Sr ili tukupe na yeye profile lake
 
Walionunuliwa utawajua kwa maneno yao! Kwenye Mafisadi ni maamuzi magumu tu, lakini haiwezekani wote tukanunuliwa! - William
 
January Makamba amefanya nini kinachokufanya uamini kuwa ni mwadilifu?

Do you think January na Nape have passed the test of time? wamekutana na vishawishi wakavishinda? ni vipi?

Zaidi ya kuwa mwenyekiti wa kamati ya Richmond, Mwakyembe amefanya nini kinachokuonyesha kuwa ni mwadilifu? Yeye alikuwa mwenyekiti wa kamati, je unadhani ni sahihi kwa credit yote ya kazi ya kamati kumwendea mwenyekiti wakati kuna members wengine ambao majina yao hata ukiyaulizia yamepotezwa kabisa katika mjadala wa Richmond.

Kabla ya kuja na thread ndefu yenye kutukuza watu na kuwademonize wengine unapaswa kuweza kujibu maswali hayo. Na ukishajibu uendelee kujibu swali la nyongeza. Kama unaamini kuwa Lowassa ni fisadi, kwa nini hauwi mstari wa mbele kuhamasisha afunguliwe mashtaka? Je, unaamini kuwa kujivua gamba ni muhimu zaidi kuliko kufuata utawala wa sheria. Je, wote waliolitia taifa hasara wajivue gamba tu halafu yaishe au previlage hiyo iko kwa Lowassa na Chenge peke yao? Mbona Liyumba hakupewa fursa ya kujivua gamba ili aendelee na maisha yake mazuri ya mtaani? Mbona wale walio keko, ukonga na mahabusu nyingine hawapewi fursa ya kujivua gamba tu waendelee na maisha yao ya kawaida?

Je, tunatoa fundisho gani kwa kampeni hii ya kujivua gamba?

Kwa sababu maalum sitauliza kuhusu Mwandosya.
 
Ngonjera zenu zimetuchosha mlituambia NEC ndio yenye uwezo kuwavua juzi mkageuza kamati ya maadili itaamua baada ya siku utamsikia Mukama akisema kamati ya maadili imemaliza kazi itapelea maazimio NEC shit..... hilo mnalo mtazunguka nalo hadi 2015.
 
Naomba nitoe angalizo tu kuwa William hana mamlaka ya kuzungumza for CCM. CCM sio club ya mpira wa mguu ambayo shabiki wake yeyote anaweza kusema lolote.

Aliyoandika humu ni mawazo yake binafsi William na si ya CCM.
 
- CCM this is my promise to you, siku Lowassa akipitishwa kugombea Urais
nitachukua Bunduki na kuingia msituni and I mean it not in my watch, nilipooona maisha yamekua magumu bongo nilikimbilia Ubaharia, na nilipooona hamsikii vilio vya wananchi nilishiriki kuanzisha kiboko yenu JF, now I am ready kuingia Msituni maana enough is enough!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!

William @...NYC,USA: Mutuz Le Baharia!
Naona wengine mmelewa mafuta ya samaki, nashauri msitu mzuri wa Gombe ukizidiwa unaweza kuomba msaada kwa wanayamlenge.
 
Jamaa anakisa na Lowassa ikizingatiwa ni Lowassa na Kikwete waliopelekea familia yao kushindwa kuwa Royal family, ni maslahi yanayokusukuma kutoa povu hapa, maana kama ni madudu ccm ndo kwao, umesahau ya Mramba? vipi Kigoda? humwoni Benny na Anna walivyojitajirisha? Mkuu wa kaya na kampuni zake za mafuta mbona husemi?

Yule fisadi mwenye meli mbovu iliyozama na kupoteza maisha ya watanzania mbona humsemi? nini kinakusukuma ndugu yetu wa Mtera kuona ya huyo mmasai mmoja wakati Msekwa kauza vitalu kwenye mbuga zetu kwa wageni husemi? Masaburi yeye ni msafi?

Luwanjo na M.kwere waliposhtukiwa wao ndo wenye dili la kusafirisha wanyama nje mbona hujasema utabeba bunduki?

Tukitaka kuushinda ufisadi tuanze na mzizi ambao unaanza na Mkapa {kumbuka ile rushwa ya ndama wa dhahabu aliyopewa}, kumbuka alipoua Wazanzibar! kumbuka Bulyanhulu!
 
Sisa za Udini Tanzania zimetawala. Nikiangalia mfumo aliouanzisha Nyerere, this time inatakiwa MKATOLIKI ndio ashike nchi. But ukiandalia kwenye system, hamna mkatoliki aliye strong. Wakristo wamemuopt MLUTHERI Lowasa.

Wanaona huyu ndiye mwenye nguvu na anaweza kuwasimamia.
Lowasa kipindi hiki amekuwa na nguvu sana na ninaweza kuthubutu kusema kuwa tayari ameshaanza kampeni. Amekuwa akialikwa kwenye fund rising mbalimbali za madhehebu ya kikristo. Na kote amepokelewa vizuri.

Ukiangalia wapinzani CDM, kwa sababu ya Ukristo wa Lowasa, hawampingi kabisa. Sasa hivi hawamsemi vibaya kabisa. Wanabaki kugangamaa na JK ambaye he is almost done.

Kwa staili CCM kumuondoa Lowassa itakuwa vigumu sana, labda tumuandae MKATOLIKI mwenye nguvu na atakayeweza kukubalika kirahisi!!
 
Kama kila mtu akiamua kuwa mtu asiyemtaka yeye akipitishwa basi atashika bunduki basi ni sawa na kusema kila uchaguzi bunduki zitashikwa na watu wataingia msituni.

Hakuna mgombea asiye na wanaompinga na usidhani kuwa hawana sababu za msingi.
 
Sisa za Udini Tanzania zimetawala. Nikiangalia mfumo aliouanzisha Nyerere, this time inatakiwa MKATOLIKI ndio ashike nchi. But ukiandalia kwenye system, hamna mkatoliki aliye strong. Wakristo wamemuopt MLUTHERI Lowasa. Wanaona huyu ndiye mwenye nguvu na anaweza kuwasimamia.
Lowasa kipindi hiki amekuwa na nguvu sana na ninaweza kuthubutu kusema kuwa tayari ameshaanza kampeni. Amekuwa akialikwa kwenye fund rising mbalimbali za madhehebu ya kikristo. Na kote amepokelewa vizuri.
Ukiangalia wapinzani CDM, kwa sababu ya Ukristo wa Lowasa, hawampingi kabisa. Sasa hivi hawamsemi vibaya kabisa. Wanabaki kugangamaa na JK ambaye he is almost done.
Kwa staili CCM kumuondoa Lowassa itakuwa vigumu sana, labda tumuandae MKATOLIKI mwenye nguvu na atakayeweza kukubalika kirahisi!!

Toa upupu,udini udini.
 
Zemarcopolo hapa hakuna muwakilishi wa chama, halafu hoja hujibiwa na hoja sio viroja, mimi ujumbe wangu ni kwa Mafisadi na Utawala wa CCM Umefika na wameshaanza kunipigia simu kujieleza, I hope unajua unajua unachokifanya cause I do! - William
 
Naomba nitoe angalizo tu kuwa William hana mamlaka ya kuzungumza for CCM. CCM sio club ya mpira wa mguu ambayo shabiki wake yeyote anaweza kusema lolote. Aliyoandika humu ni mawazo yake binafsi William na si ya CCM.

Same is to you!
 
Zemarcopolo hapa hakuna muwakilishi wa chama, halafu hoja hujibiwa na hoja sio viroja, mimi ujumbe wangu ni kwa Mafisadi na Utawala wa CCM Umefika na wameshaanza kunipigia simu kujieleza, I hope unajua unajua unachokifanya cause I do! - William

Bill,
kama unajua unachokifanya basi jibu maswali yangu hapo juu.
Mahakama iko wapi? Kina Makamba wamefanya nini kudeserve sifa ulizowapa?

Siku hizi Tanzania wala rushwa hatua ya kuwachukulia ni kujivua gamba? Mbona Mramba hakupewa fursa hiyo?
 
Sisa za Udini Tanzania zimetawala. Nikiangalia mfumo aliouanzisha Nyerere, this time inatakiwa MKATOLIKI ndio ashike nchi. But ukiandalia kwenye system, hamna mkatoliki aliye strong. Wakristo wamemuopt MLUTHERI Lowasa. Wanaona huyu ndiye mwenye nguvu na anaweza kuwasimamia.
Lowasa kipindi hiki amekuwa na nguvu sana na ninaweza kuthubutu kusema kuwa tayari ameshaanza kampeni. Amekuwa akialikwa kwenye fund rising mbalimbali za madhehebu ya kikristo. Na kote amepokelewa vizuri.
Ukiangalia wapinzani CDM, kwa sababu ya Ukristo wa Lowasa, hawampingi kabisa. Sasa hivi hawamsemi vibaya kabisa. Wanabaki kugangamaa na JK ambaye he is almost done.
Kwa staili CCM kumuondoa Lowassa itakuwa vigumu sana, labda tumuandae MKATOLIKI mwenye nguvu na atakayeweza kukubalika kirahisi!!
Masaburi
 
Back
Top Bottom