Kuifunga Blackberry iliyopotea

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Wakuu, nimepoteza handset yangu ya Blackberry, ipo namna yoyote ya kuitambua au kuifunga kabisa ili jamaa aliyeipata asiwe na manufaa nayo?. Providers wangu wanasema wao wananaweza kufunga sim card tu na sio handset.
 
Back
Top Bottom