Kuhusu TOEFL

Rainbow

Member
May 2, 2008
98
2
Wadau,
Ningependa kujua kuhusu TOEFL (Test Of English as a Foreign Language). Wapi ninapoweza kujisajili kufanya mtihani huo na huwa unafanyika mara ngapi kwa mwaka.
Thanks
 
Wadau,
Ningependa kujua kuhusu TOEFL (Test Of English as a Foreign Language). Wapi ninapoweza kujisajili kufanya mtihani huo na huwa unafanyika mara ngapi kwa mwaka.
Thanks

Kwanini unataka kufanya test hiyo?
 
Ninavyoelewa TOEFL inafanyika mlimani, computing centre.
 
nenda british councel,pale utapata mambo yote kama unataka kujipiga msasa kiinglish chako kisha kufanya TOEFL nk.
 
Yep, Kwa Tanzania ni UCC ( kwa internet based exam), sina uhakika na centre za International schools za Moshi na Dar bado zina-hosts hizi pepa.

La muhimu ni kujua hizi pepa ni za msimu, hivyo inabidi ujiandikishe mapema ili kuwahi nafasi, kwa kuchek vizuri tarehe zao kwenye web yao. Kuna miezi fulanifulani ambayo huwa ni peak, yaani test-takers wanakuwa wengi.

Hope this helps.
 
Kwa upande wa computer based test zinafanyika kila siku ya wiki, at least najua GRE ni hivyo nadhani hata TOEFL itakuwa hivyo. ni kweli hizo test zinafanyika UCC mlimani. Kuna sehemu pala kinondoni opposite na Hugo hause ndiko registaration na payament zinafanyika, sina uhakika kama pale mlimani wanafanya registration au vipi. nakumbuka GRE niliambiwa nilipe dola 230 na majibu yaterehe ya kufanya yanachukua kama wiki moja hivi kupatikana. Sijafanya hizo process kwa ajili ya GRE hivyo sina data zaidi.
 
Ninavyokumbuka miaka hiyo ilikuwa ikifanyika UCC (university Computing Centre) ambao ni agents wa Prometric. Nenda pale na Ukutane na jamaa mmoja anaitwa McDonald na mjadili kuhusu hilo. Tarehe za tests huwa zimepangwa tayari na wewe ni kuangalia siku gani muda ambao hakuna mtu amesharegister na unajiregister. UCC walikuwa hawapokei fedha yako (cash), ulitakiwa uwalipe prometric kwa kutumia VISA card. anyway mtafute huyo jamaa na uone unafanyaje. Fanya test hii only if it is required somewhere, otherwise your wasting your time. kumbuka vyuo vingi vinaangalia test hii ilifanyika lini. vingi hasa vinataka uwe umefanya ndani ya mwaka mmoja kabla ya kuomba admission.
Best of lucky.
 
aisee kwani mkuu TOEFL inafanywa na watu wanaotaka kufanya nini?

Ndiyo maana nimeuliza swali.

Mind you nilitaka kusaidia kama angenieleza makusudio yake.

TOEFL ni biashara kama biashara nyingine, usipoangalia utakamuliwa pesa zako wakati huhitaji hiyo TOEFL
 
Back
Top Bottom