Kuhusu tcu na selection status

ABDUELI

Member
Mar 12, 2012
11
0
Jamani mimi naomba mnisaidie mwaka huu nimeomba chuo kupitia tcu mpaka sasa my selection status inaonyesha not yet processed,inamaana muda bado au ndiyo imekula kwangu.
 
bado mapema sana mkubwa subiri mpaka mwezi wa tisa achakuwa na haraka...selection status yako itabadilika mwezi wa tisa
 
Jamani mimi naomba mnisaidie mwaka huu nimeomba chuo kupitia tcu mpaka sasa my selection status inaonyesha not yet processed,inamaana muda bado au ndiyo imekula kwangu.

kama ulisoma Mwananchi sometime last week walisema selection itatoka kuanzia 15th July 2012. Kuwa na subira. click kwenye my profile, then my selection status, then click code utaona competition ikoje. Wangapi wameapply, eligible, not eligible and 1st choices.
 
So tunaweza kuendelea kulogin?? au itafikia kipindi tutashindwa???

nadhani tutaendelea kulogin na labda selection zikitoka itabidi ulogin ili ucheki hiyo selection status yako ili ujue umekuwa selected wapi..inaweza ikawa tofauti na vipindi vilivyopita ambapo wanatuma list ya majina ya watu waliochaguliwa
 
kama ulisoma Mwananchi sometime last week walisema selection itatoka kuanzia 15th July 2012. Kuwa na subira. click kwenye my profile, then my selection status, then click code utaona competition ikoje. Wangapi wameapply, eligible, not eligible and 1st choices.

hapo kwenye red ni paukweli mkuu..?
 
kama ulisoma mwananchi sometime last week walisema selection itatoka kuanzia 15th july 2012. Kuwa na subira. Click kwenye my profile, then my selection status, then click code utaona competition ikoje. Wangapi wameapply, eligible, not eligible and 1st choices.

tatizo langu lingine pale kwenye selection status ya vyuo nilivyoomba hakuna hata chuo kimoja kilicho andikwa eligible or not eligible.
 
nadhani tutaendelea kulogin na labda selection zikitoka itabidi ulogin ili ucheki hiyo selection status yako ili ujue umekuwa selected wapi..inaweza ikawa tofauti na vipindi vilivyopita ambapo wanatuma list ya majina ya watu waliochaguliwa

Sasa wale wa vijijini itakuaje?? au ndo E-mail na SMS???
 
Jamani mimi naomba mnisaidie mwaka huu nimeomba chuo kupitia tcu mpaka sasa my selection status inaonyesha not yet processed,inamaana muda bado au ndiyo imekula kwangu.

Vuta subira maana inaonekana matokeo yako hayaeleweki mpaka "system" inakufikiria ikupe chuo gani!
 
tatizo langu lingine pale kwenye selection status ya vyuo nilivyoomba hakuna hata chuo kimoja kilicho andikwa eligible or not eligible.

Kuna vitu vinakosekana kwenye profile yako. Virekebishe kuna maelezo ya namna ya kurekebisha say password etc. (soma gazeti la mwananchi la leo ukurasa wa 5
 
Wen dogo mbona una haraka hivyo??? bado saaana... we subiri utajionea tu aisee. Punguza jazba.
 
Back
Top Bottom