Kuhusu selection za form five 2014

Wayne Marin

Member
Jan 31, 2014
61
2
Wadau naomba kama kua anaejua lini selections zitatoka . Tumesubiri sana, au ndo kawaida zinachelewaga hivi?
 
Hivi inakuaje pale mtu anakuwa serious kuuliza kitu afu watu wanaleta utani.
Mi nijuavyo bado ila kusema ukweli zimechelewa sana.
 
Back
Top Bottom