Kuhusu Placenta Previa

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
habarini madoctors na wana jf wenzangu, naombeni msaada, mke wangu ni mjamzito wiki 24 sawa na miezi 6, toka mimba itunge alikua anapata maumivu makali sn ya kiuno, maumivu yakaendelea kupungua kabisa lakini ghafla wiki 2 zilizopita alianza kuvuja damu na nilipompeleka hosp. Wakamfanyia utrasound wakamwambia ni PLACENTA PREVIA, leo tena hali ile imejirudia, wadau naombeni mnieleweshe hiyo PLACENTA PREVIA inasababishaje damu zitoke? Asanteni wakuu
 
duuh pole sana,kikubwa ni bed rest, asifanye kazi wala asiwe na mizunguko ya aina yoyote inaweza kusababisha miscarriage, kwa ushauri zaidi hebu nendeni kwa daktari wa wanawake mtapata msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom