Kuhusu Old Moshi PLZ.!

plz wandugu nimechaguliwa hapo OLD MOSHI, lakini hadi sasa cjapata JOINING INSTRUCTION hivyo naomba kwa yeyote mwenye CONTACT za hiyo shule anipe ili nipate kujianda vizuri... Shukrani Mbele.!
 
0ya nipe c0ntact zak0, me pia nimechaguliwa huk0.!
 
Mi pia nimechaguliwa huko,namba ctoi,tutakuna skonga.Halafu mbona watu hampondi,tunataka tujiandae na upande wa pili.
 
Old Moshi ni shule nzuri sana, binafsi nimesoma pale kuanzia form 1 mpaka 6 na imenitoa kimaisha kwani nilimaliza vizuri level zote na kwa maksi nzuri sana, kikubwa kumbuka pale ni zaidi ya chuo hamna atakaekufwatilia, unaruhusiwa kwenda mjini tena na nguo safi na muda mwingi utaona watu wa kila namna kuanzia wanaopenda starehe mpaka wanaopenda kusoma kwa bidii na wanaopenda dini sana. Kama umechaguliwa comb ya science kuna maabara nzuri zenye kila kifaa kinachotakiwa na ni bidii yako tu kuvitumia, nakumbuka form 5 ukifika hutapata kitanda mpaka form 4 waondoke so itabidi ubebwe na dogo yeyote na hilo shule haitakuambia zaidi ya kukupangia bweni then utajijua mwenyewe. All the best dogo na nimekumbuka mbali sana.
 
Ok... Old boyz
 
Nimekaa Moshi miaka 10 na wala sikuwahi kuisikia .Au ni moja ya hizi shule za kata ?
 
we utakua umeishi labda huko Rombo halafu unasema umeishi Moshi. Miaka kumi huijui Old Moshi? Ina maana hata chuo cha ushirika hukijui, CCP hupajui? KCMC hupajui? Mwenge university hupajui? Hata Mweka hujawahi kwenda?
Kwa sababu huwezi kupita maeneo niliyoyataja bila ya kupita mbele ya geti la Old Moshi ama hata uone uzio wake, unless utumie chopa.
 
Gold m0shi ni xul tamu xana ila tatiz0 t0pe bhana.!
Kwani hilo tope linaingia akilini weee kijana inaonyesha unaangalia usharobaro badala ya masomo watu mbona tumesoma pale miaka 6 na sasahv tunakula bata mbaya na hata hilo tope hatulikumbuki acha hizo dogo langu kamua kitabu uje ule bata wewe
 
Back
Top Bottom