Kuhusu Old Moshi PLZ.!

b5-click

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
2,195
2,109
Hi, jf memberz plz na0mba kwa yey0te anayejua jamb0 l0l0te linal0husu shule ya 0ld M0shi a.k.a m0shi sec, je ip0 wilaya gani, je ktk hy0 wilaya ni mjini 0r vijijini na mengney0 mabaya kwa mazuri.!
 
Moshi Sec/Old Moshi Sec iko wilaya ya Moshi mjini barabara iendayo KCMC. Kusini inapakana na Chuo Cha Ushirika, kaskazini Rau, mashariki kitandu na magharibi chuo cha polisi moshi. Ni shule kongwe na nzuri kama wewe ni mpenda kitabu. Kama ni jamaa wa disco na club unahitaji nguvu za ziada hasa siku hizi chuo kilichoko jirani hakina uwezo wa ku accommodate wanachuo wote hivyo wengi hupanga mtaani na kutegemea zaidi ndoa za dharura!
Karibu Moshi kijana nchi ya MBEGE na Nyama choma!
 
we upo pande zipi mwana
 
thanks br0da.
 
Yaani wewe ndo mkubwa wa huyo dogo? Muambie ani-pm mie ndo head-teacher wa old moshi. Asisahau jembe, slasher na ufagio
 
Hi, jf memberz plz na0mba kwa yey0te anayejua jamb0 l0l0te linal0husu shule ya 0ld M0shi a.k.a m0shi sec, je ip0 wilaya gani, je ktk hy0 wilaya ni mjini 0r vijijini na mengney0 mabaya kwa mazuri.!

Dogo Mimi Naifahamu Gold Moshi Vyema. Ukiendeleza Ubitoz lazima Ule ZIRO
 
Kuna sehemu wanaiita kingston pale old moshi,hope nawe utakua mdau wake!
 
Yaani wewe ndo mkubwa wa huyo dogo? Muambie ani-pm mie ndo head-teacher wa old moshi. Asisahau jembe, slasher na ufagio

teh teh unamana wewe ni MWL(kirumbuyo?/shayo) mkuu wa pole GOLD MOSHI!dogo old ni bonge la shule ipo mjini moshi kama member mmoja alivyoelezia hapo juu,ina michepuo miwili ya sayansi (PCB n PCM)unles kama wameongeza siku mbili hizi wana mazingira bora ya ujifunzaji labda uwe si msomaji kila la kheri kijana
 
Duh,e bana eh, old mosh bonge la skonga,, kipnd tunaingia five 2009,,walipokea wanafunz wa hkl,hgl, pcb na pcm, kama unaenda na pcb kuwa makn,ukicheza rafu lile get uliloingilia litakutoa na zero, kila kitu kinapatkana,pale old, hakuna kufatiliana, ila kuna madam m1. Ukifanya kosa anakuvizia cku ya pepa, unakula fimbo unaingia kwene pepa, wabish kama sis, pale ndo palitufaa, e bana eh, shule ya long ile, mpaka mengi kapiga pale, changamka ,kujituma ndo siri ya mafanikio, wanangu wa old mosh somen mtatoboa, muulize ROMA, anapanyaka mbaya,
 
Back
Top Bottom