Kuhusu Nyongo

Sniper

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,915
709
Wadau wa JF Doctor naomba mnielimishe kuhusu hili.
Siku ambazo nimekunywa pombe nyingi, kesho yake nikiamka mwili unakuwa hauna amani mpk nitapike nyongo, ndiyo kidogo mwili nauskia unaanza kuwa sawasawa. Baada ya hapo huwa nakunywa maji mengi, nakupumzika, mwili unarudi kwenye hali yake.

Sasa je, hii nyongo inasababishwa na nini?
Kwanini mwili unakuwa hauna amani/hauko sama mpk nitapike nyongo?
Hii nyongo ndiyo ile ile tunayokulaga tukienda mnadani kwenye mbuzi na bia?

Nawasilisha.
 
hata mi nasubiria kwa fahamu ufafanuzi tutaopata kwa wanaojua maana hata mi pia nina tatizo kaama laako sniper, ngoja tusubiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom