Kunandugu yangu alikuwa ananishauri nisome hiyo kozi lakini sina ufahamu wa kutosha kwamba inahusika na nini zaidi na market yake ikoje. Tafadhali kwa mwenye uelewa anijulishe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.