Kuhusu matumizi ya majina

Nyaru

JF-Expert Member
Oct 14, 2016
289
231
Wakuu hivi matumizi ya majina matatu, mawili au manne upoje?

Maana navyojua waliosoma miaka ya 60-70 walikuwa wanatumia majina mawili mfano, jini propaganda mzuka baadae yakaja matatu miaka ya 80-2000 na hivi juzi juzi yakaanza kutumika manne, swali langu ni wanaotumia majina manne na wamesoma miaka ya 60 hayo majina waliyapataje au nd majina feki?
 
Source yake ni mabadiriko ya kimwendokasi,sina wakili mie sipendi uchocheZi
 
Kuna Profs 15 UDSM nao vyeti vyao vya kidato cha nne ni kizungumkuti akiwemo mmoja anaependa kujifanyaga Mchambuzi mahari wa Mambo ya Kisiasa
 
Na kuhusu vyeti vya kielim mkuu
Hapa nilimaanisha kwa pande
zote,academic au professional certificates. Kwa vyovyote iwavyo,lazima utata uwepo na maelezo yahitajike pale watu zaidi ya mmoja kuwa na Jina moja mfano"John Karaga Manase". Licha ya matumizi ya majina makazini,hata katika jamii kazi ya jina la mtu ni kutofautisha huyu na yule. Na jamii huwa na namna ya kutofautisha huyu sio yule kwa majina kama kigezo muhimu. Hivyo zoezi hili la serikali kuhakiki watu wake ni muhimu,na liko sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom