Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,503
- 1,472
Vuta subira mkuu! pia pendelea kutembelea www.policeforce.go.tz mara kwa mara.wana jf naomba kuuliza kuhusu nafasi za ccp kwa mwaka huu zitatoka lini..
Vuta subira mkuu! pia pendelea kutembelea www.policeforce.go.tz mara kwa mara.wana jf naomba kuuliza kuhusu nafasi za ccp kwa mwaka huu zitatoka lini..
Subiri dogo! Usiwe na papara,kama ulijaza selform,na una ufaulu watakao uhitaji,utaitwa kwenye usaili.hvi sie 2liomaliza 4m4 je
Bado haijulikani ni lini zitatoka wazi??wana jf naomba kuuliza kuhusu nafasi za ccp kwa mwaka huu zitatoka lini..