Kuhusu Kigali - Rwanda

wakuu, mbona gharama za huduma zingine hamjampa, au hizo zinakwenda kwenye PM kwi kwi kwi kwi
 
Asante Mluga kwa kuliona hili, labda watarudi baadaye baada ya kupitia kumbukumbu zao za matumizi binafsi.
 
Mkuu Longtime no see u,na Avatar ya Ng'ombe umeitoa.

Kwa usafiri wa gari,Panda basi mpaka Kahama. ukifika kahama kuna Vibus mpaka border
-ukivuka kuna magari mpaka kigari.
nenda na dollar ili ubadili ukifika kigali.mpakani rate zao sio nzuri sana badili fedha kidogo tu.
- Hoteli ni gharama kigali mjini,ukifika Stand ulizia hoteli rahisi,itabidi upande dala dala ,ni mwendo wa kama dar town na ubungo hivi.bei zinakuwa chini around dola 15-20 sehemu nzuri.

ANGALIZO
-USITOE RUSHWA YEYOTE
-USITUPE TAKA POPOTE
-USIBEBE MFUKO WA PLASTIKI (RAMBO ETC)
Ukiwa tayari kwenda niambie 2 days before,naweza kukupatia namba ya mtu atakayeweza kukupa ushauri au maelekezo ,yeye yupo kigali.
Unaenda kufanya nini /tafifiti kitu gani
 
Hotel kwa kigali za less that 30USD Labda uende maeneo ambako kiko chuo cha K.I.E Sio kati kati ya mji ila kwa kuwa mji ni mdogo unaweza kupanda zile shuttle "Hiaice" za kwenda town kwenye starehe zako....

Nimekaa mwaka mzima ila ilikuwa 2001...nauli ya daladala ilikuwa francs 200...kutoka Rusumo kwenda kigali that time ilikuwa francs 10000 check record kabla hujaenda ujue exchange rate na tsh...keep in mind francs iko strong...

Mji wa kigali ni very expensive hasa chakula kinacho ambatana na nyama...ukibeba laki tano kwa safari yako...labda uende ukaishi twwo days then urudi hapo utakuwa salama,

Bei za dada pouwa zinategemeana na sehemu mind you kiswahili sio lugha yao...kiingereza na kifaransa cha kuibia unaweza toka kimaisha..kama unajua kiangaza na kinyambo unaweza kwenda nao sambamba.....

Nikutakie kila la heri.
 
DAR to KIGALI ni tsh 80,000/= USAFIRI ni BUS la TAQWA kila jumatano na jumamosi ndo huwa bus linatoka dsm kwenda kgl change ya shilingi kwa faranga ni tsh1=0.37 na dola kwa shiling hapa ni kwamba 1dollar=1580 hadi1600 guest nzuri zipo za dollar 20-30 asubuhi unapata b/fast sehem ya kutembelea nzuri ni gisenyi mpakani mwa kongo, gisozi makumbusho ya genocide, mitaa ya kanombe, nk, karibu
 
usafiri wa kutoka dsm unaishia ngara na pale unachukua gari ndogo zinajulikana kwa jina la mchomoko unakwenda mpaka mpaka wa rusumo unaingia upande wa rwanda unapanda coaster kwenda kgali kumbuka dola 100 ni sawa RWANDA FARANGA 45000 jitahidi kuwa msafi
 
Mkuu NewMzalendo, Mwaka Mpya Mambo mapya. Hiyo avatar yangu inamaana ya Wise Traveller.

Asante kwa taarifa za msingi, nitakutafuta once plan itakapokamilika.
 
Hotel kwa kigali za less that 30USD Labda uende maeneo ambako kiko chuo cha K.I.E Sio kati kati ya mji ila kwa kuwa mji ni mdogo unaweza kupanda zile shuttle "Hiaice" za kwenda town kwenye starehe zako....

Nimekaa mwaka mzima ila ilikuwa 2001...nauli ya daladala ilikuwa francs 200...kutoka Rusumo kwenda kigali that time ilikuwa francs 10000 check record kabla hujaenda ujue exchange rate na tsh...keep in mind francs iko strong...

Mji wa kigali ni very expensive hasa chakula kinacho ambatana na nyama...ukibeba laki tano kwa safari yako...labda uende ukaishi twwo days then urudi hapo utakuwa salama,

Bei za dada pouwa zinategemeana na sehemu mind you kiswahili sio lugha yao...kiingereza na kifaransa cha kuibia unaweza toka kimaisha..kama unajua kiangaza na kinyambo unaweza kwenda nao sambamba.....

Nikutakie kila la heri.

Asante Mkuu kwa taarifa hii, kweli nahitaji kujipanga vyema. Kuhusu biashara bidhaa gani naweza kuchukua huku bongo na kupeleka Rwanda (fast move).
 
DAR to KIGALI ni tsh 80,000/= USAFIRI ni BUS la TAQWA kila jumatano na jumamosi ndo huwa bus linatoka dsm kwenda kgl change ya shilingi kwa faranga ni tsh1=0.37 na dola kwa shiling hapa ni kwamba 1dollar=1580 hadi1600 guest nzuri zipo za dollar 20-30 asubuhi unapata b/fast sehem ya kutembelea nzuri ni gisenyi mpakani mwa kongo, gisozi makumbusho ya genocide, mitaa ya kanombe, nk, karibu

Asante Mkuu, Mbutalikasu.
 
Bado ukifika Kahama kuna quick services nyingi za kukufikisha border Rusumo; zinaondoka kila alfajiri, na pale mpakani ukishavuka ni kama wengi walivyosema na bahati nzuri kwa upande wa Rwanda kuna maduka ya kubadilisha pesa pia. Eneo la Kachiru nyuma ya ubalozi wa misri kuna lodge ambayo 2009 nililipa 20 usd per night jina silikumbuki vizuri but itt is is a mission to the orphanage na genocide victims wameweka huo mradi hapo.
 
Duh, thread imetulia hii....wacha nami nijipange niende nioshe macho Kigali.
 
usafiri wa kutoka dsm unaishia ngara na pale unachukua gari ndogo zinajulikana kwa jina la mchomoko unakwenda mpaka mpaka wa rusumo unaingia upande wa rwanda unapanda coaster kwenda kgali kumbuka dola 100 ni sawa RWANDA FARANGA 45000 jitahidi kuwa msafi
Hio pesa ina thamani sawa tu na utaweza purchase vitu vile vile ambavyo mtu anaweza purchase Tanzania
 
Back
Top Bottom