Mgombezi
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 610
- 178
Wana JF.
Kwa yeyote ambaye ameshawahi kutembelea Kigali - Rwanda au wenyeji wa huko wanaweza kunijulisha juu ya haya yafuatayo:
Kwa yeyote ambaye ameshawahi kutembelea Kigali - Rwanda au wenyeji wa huko wanaweza kunijulisha juu ya haya yafuatayo:
- Usafiri wa kuelekea huko kwa njia ya barabara (basi) kutokea Dar, Je unapatikana ?, Basi gani, ratiba, nauli, muda wa safari na mengineyo muhimu.
- Huduma za malazi; kiasi gani, guest house nzuri na salama, bei ya vyakula na mengineyo muhimu kufahamu.
- Sehemu za kutembelea (vivutio) na sehemu nyinginezo muhimu ambazo naweza kutembelea kwa kujifunza.