Kuhusu heslb:kutakuwa na batch nyingine au laa?

Mb-one

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
882
1,282
wajuzi nijuzeni wakuu,eti heslb watatoa batch nyingine au hii ndio kwishney coz mi mtoto wa mkulima wamenitosa na je ni lini yatatoka,kama hamna tujuzane tuanze kitaolojia mapema a.k.a street university no sup ,no discontinue
 
Back
Top Bottom