Kuhusu heslb...heslb....

paul kitereja

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
260
45
Wanafunzi mliochaguliwa na TCU na mnaosubiri mkopo tegemeeni kupata au kukosa mkopo kwasababu LOAN BOARD hawaeleweki!!!!
 
wewe uwezo wako wa kuelewa utakuwa ni mdogo tu amini usiamini..!! nahisi ulishawahi kufeli kama sio form 4 basi ni form six! waelevu wanaelewa!!
 
[h=1]Salaam. Nilijisajili Bodi ya mikopo (OLAS) Niki-login naambiwa "wrong password", nikijaribu ku - reset password to e-mail naambiwa " the page you requested was no found" Nifanyeje? Naomba msaada.
[/h]
 
wafuate kuleoficini kwao watakusaidia!!! kuna uwezekano namba yako ya mtihani wa form 4 imetumika mara mbili
 
Salaam. Nilijisajili Bodi ya mikopo (OLAS) Niki-login naambiwa "wrong password", nikijaribu ku - reset password to e-mail naambiwa " the page you requested was no found" Nifanyeje? Naomba msaada.

hiyo page ya olas walishaifunga kitambo..usijisumbue kufungua...kwanza unatafuta nini huko!!!!?
 
mimi niko chuo tayar ila kuna tatizo kama lako hilo lilimtokea rafiki yangu mwaka jana alivyoenda kule oficini kwao hilo tatizo likaisha!
 
Back
Top Bottom