Kuhusu fasihi za kiafrika

PARRIE KIJIKO

Senior Member
Jul 22, 2012
110
12
Chinua Anchebe v/s Ngungi wa thiongo
ni matumaini wengi wetu tumewahi kukutana na haya majina kwenye makava ya vitabu darasani au hata nyumbani
Chinua Anchebe anasifika kwa kazi kama "A man of the people","no longer at ease","things fall apart" et
ngungi yeye ni "the black hermit","weep not,child" ,"grain of wheat" etc
wote wawili wameandika kazi za aina tofauti tofati(riwaya,tamthiliya.ushairi na hadithi fupi)
on the stand of novels(riwaya) who do you think was/is the best kwenye ubora wa kazi,utunzi mzuri na uelimishaji?
Ngungi wa thiong'o(kenya) v/s chinua anchebe(nigeria)
 
chinua ndo mwenyewe unaijua 'the concubine'?acha kabisa!
 
Wote Wakali ila sema nini,ukweli utabaki palepale! weeeeee! achebe aaaa! Noma.kumbuka,akina Max,odili Samalu,edna,chief Nanga,koko,nk(a Man Of The Pple,??? ??. I Like It.LAKN HATA HVO UMEFANYA MAKOSA MR KIJIKO HAIWEZEKANI KUMSHINDANISHA A PLAY WRIGHT NA NOVELIST.NI SAWA NA KUWASHNDANISHA, MICHAEL JACKSON NA R KELLY.
 
wote wawili wemeandika plays&novels eg. Ngungi ana this time tommorow(play) na weep not,child(novel),in any case wanakutana tu
 
Back
Top Bottom