Kuhusu DELL

Jom06

Member
Mar 23, 2012
37
2
Naomba kuuliza.nina kompyuta aina ya dell,monitor ni flat screen sasa kwenye hii monitor kuna USB port 3.je?naweza kutumia?kama ndio vipi?ntashukuru kwa watakao nifumbua.
 
tumia cable ya printer kwani hata mimi ipo hivyo ila inatundu kama la printer
 
Tofauti na USB ya printer.kuna port zingne ambazo hata nikiweka flash hai respond.
 
Naomba kuuliza.nina kompyuta aina ya dell,monitor ni flat screen sasa kwenye hii monitor kuna USB port 3.je?naweza kutumia?kama ndio vipi?ntashukuru kwa watakao nifumbua.

Kuna cable moja kama ya printer upande mmoja ni usb na mwingine upo tofauti hv,kama unaenda dukan sema cable ya printer sasa ule upande wa usb utachomeka katika cpu port moja wapo ya usb na upande wa pili chini ya screen utaona tundu ambalo laendana na hyo cable ukichomeka port zote za usb katika screen zitasoma kwa mie natumia pia dell opt 780 ambayo ina the same features
 
Si kila tundu USB linafanya kz, na sio kila flash au cable ya USB ukichomeka itakubali ni mpaka I-respond UPC yako na ikuruhusu kutumia unaweza shangaa modem au flash zenye USB zikachagua matundu yao ya awali
Tundu la Printer haliwezi soma USB ya card reader au modem kwani zina njia 8 na zaidi wakati Printer ina 5 au pungufu
 
So niachane nazo.maana niliuliza.ingenirahisishia kazi.CPU iko chini sasa kuinaina kuweka modem au flash,inanipa shida sn.ila kwenye screen ingekua mzuka sana.
 
So niachane nazo.maana niliuliza.ingenirahisishia kazi.CPU iko chini sasa kuinaina kuweka modem au flash,inanipa shida sn.ila kwenye screen ingekua mzuka sana.

Inategemea na monitor yako ilivyo. Monitor nyingi za namna hiyo zinakuwa na usb input, unachomeka waya kwenye usb port moja ya cpu inakuja kuingia kwenye usb input port kwenye monitor. Ichunguze vizuri monitor yako, huenda unachomeka flash tu wakati port zako hazina mawasiliano.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom