Kuhusu chuo cha Kilimo UKIRIGURU mwanza

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Jamani chuo cha UKIRIGURU mwanza naskia wametoa majina ya wanafunzi wanaotakiwa kujiunga na chuo hicho,
but wao huwa hawaweki matokeo hayo kwenye internet sasa naomba mwenye kujua ntapataje hayo majina anielekeze maana niko mbali kidogo
thanks
 
Back
Top Bottom