Bajeti nzuri donge tu na vizabinazabina vyenyu
wakwanza kuanza kulia ugumu wa maisha ni weweBajeti nzuri donge tu na vizabinazabina vyenyu
Slaa anajua nini kuhusu bajeti? hivi si vituko waungwana?
Umenena baba,cc imefika mwisho wa kufikiri.
Slaa anajua nini kuhusu bajeti? hivi si vituko waungwana?
hata kabla ya hapo maana b4 2015 anything can happen!
Slaa anajua nini kuhusu bajeti? hivi si vituko waungwana?
wewe unajua nini? Hata kichwa huna, hapo juu ya mabega yako naona kichwa cha Nape, pia nakifananisha na cha Mtatiro.Slaa anajua nini kuhusu bajeti? hivi si vituko waungwana?
you made my day
Kiongozi Mkuu wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM Dr Wilbroad Slaa amesema ameshangazwa na kushtushwa na bajeti ya serikali ya mwaka huu.
Dr Slaa amesema serikali ya CCM imefikia mwisho wa kufikiri kwa kuomba misaada na mikopo kwa wahisani kwa lengo la kukidhi fungu la matumizi ya serikali.Dr Slaa amesema hakungekuwa na tatizo kama mikopo na misaada ingeelekezwa kwenye maendeleo kama ujenzi wa viwanda nk.Dr Slaa alihoji unakopa ili mlipane mishahara na marupurupu?
Dr Slaa alishangazwa pia na serikali kutegemea vinywaji kila mwaka katika kuongeza kodi na kusema huko ni kukosa ubunifu.Mbona hawaangalii madini? Alihoji kiongozi huyo.
Dr Slaa aliponda pia uamuzi wa kuanzisha kodi maalum kwenye plate namba za magari zenye majina ya watu na kusema huko ni kuleta matabaka katika nchi na kuhalalisha mafisadi kutamba na fedha zao haramu.
Source:Tanzania Daima Jumamosi
Hapa cha msingi ni kutafuta mwelekeo mpya wa sera na uongoz ifikapo 2015 hawa ccm juz walikua wanasema uchumi umekua sa'umekua vp wakati leverage ratio imeincrease zaidi. Tunaitaji fikra mpya makini na endelevu kwa wanyonge ktk usawa wa haki na uchumi.
Bsc (UD),MSC(pretoria univ.) na ya kwako mkuu?Elimu yako?
Bajeti nzuri donge tu na vizabinazabina vyenyu
wewe mabulula kweli,kama na wewe hujui bajeti basi hata familia yako inashida maana huna vipaumbele katika bajeti ya familia yakoSlaa anajua nini kuhusu bajeti? hivi si vituko waungwana?
Sijui kama unaelewa unachosema na implications zake! Maana yake ni kwamba bajeti ijadiliwe na wachumi tu!
THINK BEFORE YOU TYPE