Kuhusu arusha university

FIDO DIDO

Member
Mar 6, 2012
24
7
Hellow wadau wa jf naomba kuuliza vp arusha university masters ya pale inatambulika? na waajir wanaichukulia aje? maana na mpango wa ku apply masters pale.ushaur wenu please
 
Ni kweli inatambulika ila kwenye soko la ajira kama ujuavyo uwezo binafsi una sehemu yake pamoja na ukumbwa wa chuo ulichosoma ukiwa mweupe huna chako. omba naona wanazidi kuongoza Phd holders kwenye staff wao
 
Mi nimebahatika Kusoma hapo, inatambulika na tcu so kwenye soko la ajira pia. All the best
 
Jaman hongera kma unakuja kusoma masters sisi hta ha2jui kma 2taendelea for second year coz ada yenyewe imepanda jaman mmh 2talia na nan na wazaz wetu n wakulima hawajavuna bdo mmh all da best 4 ur masters
 
Jaman hongera kma unakuja kusoma masters sisi hta ha2jui kma 2taendelea for second year coz ada yenyewe imepanda jaman mmh 2talia na nan na wazaz wetu n wakulima hawajavuna bdo mmh all da best 4 ur masters
kaka kwan fees n shiling ngap mpaka programme mtu umalize? ila usijal kaka utamaliza
 
jaman hongera kma unakuja kusoma masters sisi hta ha2jui kma 2taendelea for second year coz ada yenyewe imepanda jaman mmh 2talia na nan na wazaz wetu n wakulima hawajavuna bdo mmh all da best 4 ur masters

ndugu yangu,ada imepanda kwa kiasi gani yaani imekuwa shilingi ngapi kwa undergraduate?kwani nimeomba ktk chuo hicho,kozi bba in office & hrm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom