Kuhusu Arusha: Slaa ni tatizo, najuta kumpa kura - 2

km unatafuta kazi ya uandishi wa habari mskala km ukiipeleka tbc radio uhuru daily news uhuru na mzalendo na habarileo wanakupa kazi fasta lkn hapa kwenye visima vya fikra tunakuona km unajifunza abcd pale saint halmashauri.

Source acknowledged!
 
mara sehemu ya kwanza ya makala haya ilipotoka wiki iliyopita, nilipata taarifa ya mshtuko. Nilinasa sherehe za watu wanaochekelea. Wanadai vurugu za arusha zimefanikiwa kuwaweka juu.

Ni ile ile falsafa ya siasa za majitaka. Kwamba baadhi ya viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema), wanaona arusha ni mtaji wa kuwaweka hai kisiasa. Kufa kufaana!

Sidhani kama nchi inastahili kuendelea kuwavumilia wanasiasa wa aina hii.

Wapo radhi kuona damu inamwagika, watu wanakufa ili kutimiza matakwa yao kisiasa. Serikali ikigoma kumuadhibu, wewe mwananchi chukua hatua kwa kumchukia moja kwa moja.

Nasikitika kwamba kura yangu kwenye uchaguzi mkuu 2010 niliitumbukiza pasipostahili. Nilimpa aliyekuwa mgombea urais wa chadema, willibrod slaa (pichani)ambaye nimebaini kuwa hafai hata kidogo.

Slaa ni chanzo cha mauaji ya arusha. Najiuliza ujasiri wa kuichimba mkwara serikali kaupata wapi! Nastaajabu kuona kwamba mtu huyo, eti aliwahi kusimama kwenye mimbari na kuhubiri neno la mungu.

Ni padri gani anayeweza kuwa mchochezi. Anayewatuma watu wakauawe! Nasikitika kuona kwamba mpaka leo, bado kuna wananchi hawajataka kukubali ukweli.

Slaa aliwatuma vijana wa arusha wakauawe kwa sababu alijua polisi kuna nini. Anafahamu kwamba vituo vya polisi, hasa vikubwa vina zana za kila namna kukabiliana na wahalifu. Unauliza bunduki polisi?

Akifahamu hilo, yeye aliwaamrisha vijana kwenda kuvamia kituo cha polisi na kuwatorosha, mwenyekiti wa chadema, freeman mbowe na mbunge wa arusha mjini, godbless lema. Alitegemea nini?

Je, polisi wangekubali kuvamiwa, wapigwe, wauawe? Ni dhahiri slaa alijua kwamba vijana wangekabiliana na jibu la kijeshi ambalo lingegharimu maisha yao. Hicho ndicho kilichotokea. Alifanya makusudi.

Alitamani watu wafe ili ajiongezee mtaji wa kisiasa. Alikosea kupita kiasi. Damu za wahanga wa arusha itazunguka kwenye kichwa chake. Aliwatuma yeye, basi kama si duniani, mbinguni atahukumiwa.

Kama nilivyouliza wiki iliyopita, kwa nini slaa hakusimama mstari wa mbele kwenda kuwatorosha mbowe na lema? Aliagiza tu, yaani yake ndiyo roho, za wale vijana ni nini? Ni kama msemo risasi kwa tembo, binadamu aah!

Alijifanya mshika rimoti na kubonyeza, akaagiza, "nendeni kituo cha polisi, mumlete mbowe na lema kabla sijaondoka hapa." inawezekana serikali inamlea kwa sababu ya kuhofia kelele za jumuiya ya kimataifa.

Je, tunastahili kuwalea watu wa aina hii kwa sababu ya woga wa jumuiya za kimataifa? Watanzania tuepuke, tujifunze hulka za wanasiasa, tutambue kuwa wao ni ‘sosi' ya migogoro ya nchi nyingi na mauaji ya wenyewe kwa wenyewe.

Ni busara kila mtanzania akawa macho, aepuke kutumiwa na wanasiasa. Tuchuje maneno ya jukwaani kisha tuyaweke mbele yale yenye masilahi kwa taifa, yenye rangi mbaya tuyapuuze kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.

Wanasiasa maskini wa hoja hawafai. Hao ni rahisi kutupeleka kwenye machafuko. Wakigundua hawana ajenda ya kuwafanya watengeneze vichwa vya habari, wanakosa amani, hivyo wanaamua kufanya uchochezi na kuyaweka rehani maisha ya wananchi.

Ajenda ya katiba mpya ilipomezwa na rais jakaya kikwete, wakaamua kugeukia arusha. Ni vizuri wanasiasa wakawa wakweli kwa wananchi, si kusema uongo ili kujipa ushindi wa mezani. Propaganda zilizopitwa na wakati.

Ccm na chadema wote wamecheza rafu arusha. Ni kama aliyeuziwa cheni ya bandia naye akatoa fedha feki. Ajabu ni kwamba makosa yao, mauti yanawaangukia wananchi. Ni kama nyasi kusiginwa wakati wa mechi ya watani wa jadi.

Kama chadema walidanganya kwa rebecca mngodo (mbunge viti maalum), ccm nao walicheza ‘faulo' kwa mary chatanda ambaye inadaiwa uwakilishi wake ni tanga lakini alipelekwa arusha makusudi kuongeza kura.

Chadema hawaelezi ukweli kwamba arusha, ccm ina madiwani wengi kuliko wao. Wanataka uchaguzi wa meya urudiwe ilhali hata wakifanya hivyo, bado chama tawala kina nafasi kubwa ya kutetea. Kina wapiga kura wengi ndani ya halmashauri ya jiji.

Tatizo hapa ni kwamba wanawatumia wananchi kama mitaji yao, kwa hiyo wanaendelea kuwazuga kwa hoja za kizamani. Wamechagua kuwa wapinzani, kwa hiyo wanapinga kila kitu. Mtu kashindwa anadai kachakachuliwa, anaambiwa athibitishe madai yake, anashindwa.

Nasikitika kwamba uchaguzi ulishapita na kura nilishaitumbukiza pasipostahili. La kujifunza ni kwamba siku nyingine kabla sijachagua, nitachanganua vilivyo aina ya mtu ninayemtaka.

Nashukuru mungu hakushinda, maana leo ningejuta zaidi.

source

this is total craap!
 
Mara sehemu ya kwanza ya makala haya ilipotoka wiki iliyopita, nilipata taarifa ya mshtuko. Nilinasa sherehe za watu wanaochekelea. Wanadai vurugu za Arusha zimefanikiwa kuwaweka juu.

Ni ile ile falsafa ya siasa za majitaka. Kwamba baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wanaona Arusha ni mtaji wa kuwaweka hai kisiasa. Kufa kufaana!

Sidhani kama nchi inastahili kuendelea kuwavumilia wanasiasa wa aina hii.

Wapo radhi kuona damu inamwagika, watu wanakufa ili kutimiza matakwa yao kisiasa. Serikali ikigoma kumuadhibu, wewe mwananchi chukua hatua kwa kumchukia moja kwa moja.

Nasikitika kwamba kura yangu kwenye Uchaguzi Mkuu 2010 niliitumbukiza pasipostahili. Nilimpa aliyekuwa Mgombea Urais wa CHADEMA, Willibrod Slaa (pichani)ambaye nimebaini kuwa hafai hata kidogo.

Slaa ni chanzo cha mauaji ya Arusha. Najiuliza ujasiri wa kuichimba mkwara serikali kaupata wapi! Nastaajabu kuona kwamba mtu huyo, eti aliwahi kusimama kwenye mimbari na kuhubiri Neno la Mungu.

Ni padri gani anayeweza kuwa mchochezi. Anayewatuma watu wakauawe! Nasikitika kuona kwamba mpaka leo, bado kuna wananchi hawajataka kukubali ukweli.

Slaa aliwatuma vijana wa Arusha wakauawe kwa sababu alijua polisi kuna nini. Anafahamu kwamba vituo vya polisi, hasa vikubwa vina zana za kila namna kukabiliana na wahalifu. Unauliza bunduki polisi?

Akifahamu hilo, yeye aliwaamrisha vijana kwenda kuvamia kituo cha polisi na kuwatorosha, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema. Alitegemea nini?

Je, polisi wangekubali kuvamiwa, wapigwe, wauawe? Ni dhahiri Slaa alijua kwamba vijana wangekabiliana na jibu la kijeshi ambalo lingegharimu maisha yao. Hicho ndicho kilichotokea. Alifanya makusudi.

Alitamani watu wafe ili ajiongezee mtaji wa kisiasa. Alikosea kupita kiasi. Damu za wahanga wa Arusha itazunguka kwenye kichwa chake. Aliwatuma yeye, basi kama si duniani, mbinguni atahukumiwa.

Kama nilivyouliza wiki iliyopita, kwa nini Slaa hakusimama mstari wa mbele kwenda kuwatorosha Mbowe na Lema? Aliagiza tu, yaani yake ndiyo roho, za wale vijana ni nini? Ni kama msemo risasi kwa tembo, binadamu aah!

Alijifanya mshika rimoti na kubonyeza, akaagiza, nendeni kituo cha polisi, mumlete Mbowe na Lema kabla sijaondoka hapa. Inawezekana serikali inamlea kwa sababu ya kuhofia kelele za jumuiya ya kimataifa.

Je, tunastahili kuwalea watu wa aina hii kwa sababu ya woga wa jumuiya za kimataifa? Watanzania tuepuke, tujifunze hulka za wanasiasa, tutambue kuwa wao ni sosi ya migogoro ya nchi nyingi na mauaji ya wenyewe kwa wenyewe.

Ni busara kila Mtanzania akawa macho, aepuke kutumiwa na wanasiasa. Tuchuje maneno ya jukwaani kisha tuyaweke mbele yale yenye masilahi kwa taifa, yenye rangi mbaya tuyapuuze kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.

Wanasiasa maskini wa hoja hawafai. Hao ni rahisi kutupeleka kwenye machafuko. Wakigundua hawana ajenda ya kuwafanya watengeneze vichwa vya habari, wanakosa amani, hivyo wanaamua kufanya uchochezi na kuyaweka rehani maisha ya wananchi.

Ajenda ya katiba mpya ilipomezwa na Rais Jakaya Kikwete, wakaamua kugeukia Arusha. Ni vizuri wanasiasa wakawa wakweli kwa wananchi, si kusema uongo ili kujipa ushindi wa mezani. Propaganda zilizopitwa na wakati.

CCM na Chadema wote wamecheza rafu Arusha. Ni kama aliyeuziwa cheni ya bandia naye akatoa fedha feki. Ajabu ni kwamba makosa yao, mauti yanawaangukia wananchi. Ni kama nyasi kusiginwa wakati wa mechi ya watani wa jadi.

Kama Chadema walidanganya kwa Rebecca Mngodo (Mbunge Viti Maalum), CCM nao walicheza faulo kwa Mary Chatanda ambaye inadaiwa uwakilishi wake ni Tanga lakini alipelekwa Arusha makusudi kuongeza kura.

Chadema hawaelezi ukweli kwamba Arusha, CCM ina madiwani wengi kuliko wao. Wanataka uchaguzi wa Meya urudiwe ilhali hata wakifanya hivyo, bado chama tawala kina nafasi kubwa ya kutetea. Kina wapiga kura wengi ndani ya halmashauri ya jiji.

Tatizo hapa ni kwamba wanawatumia wananchi kama mitaji yao, kwa hiyo wanaendelea kuwazuga kwa hoja za kizamani. Wamechagua kuwa wapinzani, kwa hiyo wanapinga kila kitu. Mtu kashindwa anadai kachakachuliwa, anaambiwa athibitishe madai yake, anashindwa.

Nasikitika kwamba uchaguzi ulishapita na kura nilishaitumbukiza pasipostahili. La kujifunza ni kwamba siku nyingine kabla sijachagua, nitachanganua vilivyo aina ya mtu ninayemtaka.

Nashukuru Mungu hakushinda, maana leo ningejuta zaidi.

Source
Utakuwa ndugu wa Makamba kama sio Tambwe
 
ha ha ha ha ha haaaa!! wala sijasoma hizo kurasa, labda nikipata likizo NTAJARIBU kupitia uloyaandika km CCM wanavyojaribu.
 
kujiita freestyler jhaina maan kuwa uropoke ropoke...unaumwa MOTH DIARRHORREA kama babako jakaya mrisho kikwete na sophia simba na martin shigela..na tambwe hiza....na woooteee huko sisiemu! sisiemu ni watu ambao ubongo wao hauna mawasilano na mdomo yao....yaani wamekufa ganzi!!!!! nadhani tanzania ina wagonjwa wengi kama wewe ambao ubongo umekua lakini wao wanatembea na wanakula na kufanya kila kitu kama binadamu wa kawaida.... zaidi zaid wanapenda ngono ilihali wamekufa!! wataalamu njooni mfanye research tanzania kwani wagonjwa hawa waliokufa akili sio kama wale tunaowajuwa wanaishi kwa msaada wa mashine eg mwalimu pale st thomas au ariel sharol
 
slaa ni chanzo cha mauaji ya arusha. Najiuliza ujasiri wa kuichimba mkwara serikali kaupata wapi! Nastaajabu kuona kwamba mtu huyo, eti aliwahi kusimama kwenye mimbari na kuhubiri neno la mungu.

Ni padri gani anayeweza kuwa mchochezi. Anayewatuma watu wakauawe! Nasikitika kuona kwamba mpaka leo, bado kuna wananchi hawajataka kukubali ukweli.

Slaa aliwatuma vijana wa arusha wakauawe kwa sababu alijua polisi kuna nini. Anafahamu kwamba vituo vya polisi, hasa vikubwa vina zana za kila namna kukabiliana na wahalifu. Unauliza bunduki polisi?

Akifahamu hilo, yeye aliwaamrisha vijana kwenda kuvamia kituo cha polisi na kuwatorosha, mwenyekiti wa chadema, freeman mbowe na mbunge wa arusha mjini, godbless lema. Alitegemea nini?

Je, polisi wangekubali kuvamiwa, wapigwe, wauawe? Ni dhahiri slaa alijua kwamba vijana wangekabiliana na jibu la kijeshi ambalo lingegharimu maisha yao. Hicho ndicho kilichotokea. Alifanya makusudi.

Alitamani watu wafe ili ajiongezee mtaji wa kisiasa. Alikosea kupita kiasi. Damu za wahanga wa arusha itazunguka kwenye kichwa chake. Aliwatuma yeye, basi kama si duniani, mbinguni atahukumiwa.

Kama nilivyouliza wiki iliyopita, kwa nini slaa hakusimama mstari wa mbele kwenda kuwatorosha mbowe na lema? Aliagiza tu, yaani yake ndiyo roho, za wale vijana ni nini? Ni kama msemo risasi kwa tembo, binadamu aah!

Alijifanya mshika rimoti na kubonyeza, akaagiza, "nendeni kituo cha polisi, mumlete mbowe na lema kabla sijaondoka hapa." inawezekana serikali inamlea kwa sababu ya kuhofia kelele za jumuiya ya kimataifa.

boga hiloo.

Kwanza muongo kujifanya unatuwakilisha zungumza kivyako.

Pili haya mambo yako mahakamani unataka sisi tukusaidie na hoja ya kipuuzi.

Tatu swali linalojadiliwa kwa sasa ni dowans na wizi wa ccm uliowapigia kura cha moto juu ya ukali wa maisha wote tunakipata.

Mwisho fikiria kwanza kabla hujaleta upuuzi hapa ulipomchagua slaa kama ni kweli halafu leo unajuta mpuuzi ni wewe siyo slaa. Dr. Slaa ni matawi ya juu kwa wenye akili KALAGA BAHO
 
Mwanangu umebeba gunia la nazi ngata kifuu mwana sikupi pole kwa mzigo huo ubebe tu mpaka kichwa yako inene lugha mpya!

Wewe mifereji ya damu ya wtg inayotiririka kwa sababu ya ujinga maradhi na ufisadi unabariki kwa kauli yako badala ya kukemea tutakutana jehannam mwanangu maana Mungu wa rehema amesema 'Wajinga na waoga wote kwenye ziwa la moto'

Hayo yasingetokea kama ccm ingetekeleza azma ya kuwaondolea wananchi ujinga umaskini maradhi na sasa ufisadi!

Umebaki kulaumu ulipo angukia ulipo jikwaa huoni mh...

kwa mtindo huo kama hamta badilika huku ufa wa walio nacho na wasio nacho unazidi kuongezeka Kila kukicha afadhali ya jana we subiri anguko la mende!
TUOMBE DUA MUNGU ATUNUSURU!
 
Mara sehemu ya kwanza ya makala haya ilipotoka wiki iliyopita, nilipata taarifa ya mshtuko. Nilinasa sherehe za watu wanaochekelea. Wanadai vurugu za Arusha zimefanikiwa kuwaweka juu.

Ni ile ile falsafa ya siasa za majitaka. Kwamba baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wanaona Arusha ni mtaji wa kuwaweka hai kisiasa. Kufa kufaana!

Sidhani kama nchi inastahili kuendelea kuwavumilia wanasiasa wa aina hii.

Wapo radhi kuona damu inamwagika, watu wanakufa ili kutimiza matakwa yao kisiasa. Serikali ikigoma kumuadhibu, wewe mwananchi chukua hatua kwa kumchukia moja kwa moja.

Nasikitika kwamba kura yangu kwenye Uchaguzi Mkuu 2010 niliitumbukiza pasipostahili. Nilimpa aliyekuwa Mgombea Urais wa CHADEMA, Willibrod Slaa (pichani)ambaye nimebaini kuwa hafai hata kidogo.

Slaa ni chanzo cha mauaji ya Arusha. Najiuliza ujasiri wa kuichimba mkwara serikali kaupata wapi! Nastaajabu kuona kwamba mtu huyo, eti aliwahi kusimama kwenye mimbari na kuhubiri Neno la Mungu.

Ni padri gani anayeweza kuwa mchochezi. Anayewatuma watu wakauawe! Nasikitika kuona kwamba mpaka leo, bado kuna wananchi hawajataka kukubali ukweli.

Slaa aliwatuma vijana wa Arusha wakauawe kwa sababu alijua polisi kuna nini. Anafahamu kwamba vituo vya polisi, hasa vikubwa vina zana za kila namna kukabiliana na wahalifu. Unauliza bunduki polisi?

Akifahamu hilo, yeye aliwaamrisha vijana kwenda kuvamia kituo cha polisi na kuwatorosha, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema. Alitegemea nini?

Je, polisi wangekubali kuvamiwa, wapigwe, wauawe? Ni dhahiri Slaa alijua kwamba vijana wangekabiliana na jibu la kijeshi ambalo lingegharimu maisha yao. Hicho ndicho kilichotokea. Alifanya makusudi.

Alitamani watu wafe ili ajiongezee mtaji wa kisiasa. Alikosea kupita kiasi. Damu za wahanga wa Arusha itazunguka kwenye kichwa chake. Aliwatuma yeye, basi kama si duniani, mbinguni atahukumiwa.

Kama nilivyouliza wiki iliyopita, kwa nini Slaa hakusimama mstari wa mbele kwenda kuwatorosha Mbowe na Lema? Aliagiza tu, yaani yake ndiyo roho, za wale vijana ni nini? Ni kama msemo risasi kwa tembo, binadamu aah!

Alijifanya mshika rimoti na kubonyeza, akaagiza, “nendeni kituo cha polisi, mumlete Mbowe na Lema kabla sijaondoka hapa.” Inawezekana serikali inamlea kwa sababu ya kuhofia kelele za jumuiya ya kimataifa.

Je, tunastahili kuwalea watu wa aina hii kwa sababu ya woga wa jumuiya za kimataifa? Watanzania tuepuke, tujifunze hulka za wanasiasa, tutambue kuwa wao ni ‘sosi’ ya migogoro ya nchi nyingi na mauaji ya wenyewe kwa wenyewe.

Ni busara kila Mtanzania akawa macho, aepuke kutumiwa na wanasiasa. Tuchuje maneno ya jukwaani kisha tuyaweke mbele yale yenye masilahi kwa taifa, yenye rangi mbaya tuyapuuze kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.

Wanasiasa maskini wa hoja hawafai. Hao ni rahisi kutupeleka kwenye machafuko. Wakigundua hawana ajenda ya kuwafanya watengeneze vichwa vya habari, wanakosa amani, hivyo wanaamua kufanya uchochezi na kuyaweka rehani maisha ya wananchi.

Ajenda ya katiba mpya ilipomezwa na Rais Jakaya Kikwete, wakaamua kugeukia Arusha. Ni vizuri wanasiasa wakawa wakweli kwa wananchi, si kusema uongo ili kujipa ushindi wa mezani. Propaganda zilizopitwa na wakati.

CCM na Chadema wote wamecheza rafu Arusha. Ni kama aliyeuziwa cheni ya bandia naye akatoa fedha feki. Ajabu ni kwamba makosa yao, mauti yanawaangukia wananchi. Ni kama nyasi kusiginwa wakati wa mechi ya watani wa jadi.

Kama Chadema walidanganya kwa Rebecca Mngodo (Mbunge Viti Maalum), CCM nao walicheza ‘faulo’ kwa Mary Chatanda ambaye inadaiwa uwakilishi wake ni Tanga lakini alipelekwa Arusha makusudi kuongeza kura.

Chadema hawaelezi ukweli kwamba Arusha, CCM ina madiwani wengi kuliko wao. Wanataka uchaguzi wa Meya urudiwe ilhali hata wakifanya hivyo, bado chama tawala kina nafasi kubwa ya kutetea. Kina wapiga kura wengi ndani ya halmashauri ya jiji.

Tatizo hapa ni kwamba wanawatumia wananchi kama mitaji yao, kwa hiyo wanaendelea kuwazuga kwa hoja za kizamani. Wamechagua kuwa wapinzani, kwa hiyo wanapinga kila kitu. Mtu kashindwa anadai kachakachuliwa, anaambiwa athibitishe madai yake, anashindwa.

Nasikitika kwamba uchaguzi ulishapita na kura nilishaitumbukiza pasipostahili. La kujifunza ni kwamba siku nyingine kabla sijachagua, nitachanganua vilivyo aina ya mtu ninayemtaka.

Nashukuru Mungu hakushinda, maana leo ningejuta zaidi.

Source

Dr. Slaa hakuchaguliwa na vilaza kama wewe wavaa t shirt za manjano
 
Mmmmmmmmmmmmmmmm taarifa yako ingekuwa na chembe ya ukweli ningekuamini lakini mmmmm
 
"Jamii Forum, Home of great thinkers". Nasikitika kuna narrow thinkers nao wanaingia humu humu. Nadhani uwekwe utaratibu kuanzia sasa kuwa kabla ya mtu kuwa memba wa JF kwanza apitie usaili wa kupima IQ yake kama inaruhusu kuwa mwanachama. Kupimwa maradhi ya akili pia ni muhimu. Haya yangefanyika kabla nadhani aliyeweka huu upuuzi asingalipata nafasi ya kuwa memba.

"Kwenye msafara wa mamba na kenge nao wamo"
 
Ndugu Freestyle, upumbavu wa Dr Slaa ni busara kwako. Asante kwa kuonyesha hilo
 
avatar33364_2.gif.jpg

JF tumsamehe bure huyu jamaa hata avatar yake inaeleza kuwa anahitaji parental advice
 
Ewe mwanaCCM watu usema ebu ficha upumbavu wako ili japo uonekane mpole kuliko mjinga. Unasema unajuta kumpa kura,kwani amepata urais?kwani kura yako ni ile ya secret ballot box au ya wazi ya kutundikwa kama unavofanya apa? Ivi unajua tukio la arusha mtiririko wake ukoje au unasikia adithi za mafisadi wenzako?nakumbuka Mbowe alinaswa kabla ya watu wengne,sasa slaa alimfichaje? Kuna sehemu yoyote dr.slaa kawafunga vijana wa arusha minyororo anawapeleka kuvamia kituo cha polisi?kama uchaguzi wa meya uko wazi,dr.angeanzaje kuandamana?au unaangalia matokeo bila kuona chanzo?unasema hoja ya katiba imemezwa na jk,kwani tayari katiba imejengwa au ni mchakato?nakuhakikishia kuwa jk hajatoa katiba na bado njia aliyotaja haitafuatwa!uninukuu hapa. Wewe ujielewi,narudia kaa huko ccm utulie.
 
Mtoa mada kanifunulia undani wake. Kuna upofu wa fikra katika wanajamii, kiasi kwamba tunaimba kama kasuku bila ya kujua maana ya wimbo tuimbao. Sidhani kama mtoa mada anaelewa maana halisi ya uchochezi, kusababisha mauaji, ushabiki n.k. Katika nyanja hii mtoa mada ni mpofu kifikra. In the abundance of water the fool is thirsty, tunaita nchi ya kidemokrasia, nchi huru na wananchi wake ni huru, je ni uhuru kama wa wanyama katika kitabu cha The animals farm? "All animals are equal"!!!!, wenye chama kina wenyewe wakaongeza " Some are more equal than others".
Pengine hujijui tu lakini ndugu una ugonjwa unaohitaji tiba mapema. Unaibiwa hela unachekelea tu, unanyimwa fursa za elimu unaona sawa tu, unapandishiwa garama za maisha wewe kwako sawa tu, na kwa kuwa umeshaamua kuwa zezeta sintashangaa kusikia umenyang'anywa mke kisha ukapiga vigelegele.
 
Back
Top Bottom