Asante mganyizi
Wewe acha kukurupuka... Unajua tofauti ya nokia na Blackberry?yap m mbona natumia n70 tena in build ya 2007 na inasapoti flash player and pdf reader ..................so wat is the truth:blah:
Wandugu naomba msaada wenu, natumia simu ya blackberry, nilikuwa nikifungua baadhi ya website zinataka niwe na adobe flash player, nimetafuta katika getjar sikupata,sasa wandugu nifanyeje ili niweze kufanikiwa?