Kuhusu admission letters za udsm.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Kwa atakae penda kwenda kuchukulia chuoni,zitaanza kutolewa tar 17/09/2012,kama uko mkoani inabidi hadi chuo kifunguliwe.kwa maelezo zaidi,tembelea www.udsm.ac.tz
 
kwanini wasingetoa online kama vyuo vingine? Halafu eti ndio best university mpaka aibu doo
 
kwanini wasingetoa online kama vyuo vingine? Halafu eti ndio best university mpaka aibu doo

ndo maana hii yetu ikaitwa udsm na hyo yako ikaitwa Saut.najua umeumia sana kwa kupigwa chini ud,ila hamna jinc,jilaumu kwa kuzembea masomo yako ya high school.
 
hawa vilaza cjui lini wataacha kuiponda udsm, jaman twend turud, najua kuw na nyie mnajua sema mnabisha kujifurahisha tu "UDSM IS THE BEST UNIVERSITY IN TANZANIA"
 
8
hawa vilaza cjui lini wataacha kuiponda udsm, jaman twend turud, najua kuw na nyie mnajua sema mnabisha kujifurahisha tu "UDSM IS THE BEST UNIVERSITY IN TANZANIA"
N mawazo yako 2 kaka!!!mi napga Telecom ya DIT afu mlete m2 wako wa UD 2kapalangane kwnye market!!hapo ndpo utakr UD n zaman bt co xaxa
 
Back
Top Bottom