Umenena hata mimi simuhurumii kabisa wakati anafanya starehe alikuwa anaona dunia ni yake na chaguo ni lake leo aliyoyachagua anayaangulia kilio. Mnaomuonea huruma mwende mahakamani badala yake,ni lazima iwe fundisho kwake,wasichana wote,wazazi wanaofanya watoto wao vitega uchumi ili kuganga njaa town. Leo hii mama lizy anaomba watu wamsaidie mwanae alipokuwa anarukaruka na wanaume mbona hakuomba msaada wamama wamkanye km alishindwa?alikuwa anafurahia hela tu,ukipanda mahindi usitegemee kuvuna kunde.
Sijui kwa sasa atamuuzia nani CD zake!Na uigizaji ni fani yake!