Kuhusiana na Lulu kulia Mahakamani, Kama binti mdogo (mtoto) anayebebeshwa mzigo asioweza kuubeba

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
Mimi binafsi nadhani Hakuna kitu kama hicho wakuu...kama wewe na Lulu na watu wengine labda wenye mtazamo kama wako mnaona mahakamani ni sehemu ngumu sana you are all mistakenly...yuko pale kwa ajili ya kusafisha jina lake...kuudhihirishia umma wa wa watanzania na dunia kwa ujmla kwamba kifo cha Kanumba hakipo juu yake...Suala la kumuona ni mtoto kisa analia wakati si ajabu ana mambo ya kiutu uzima nadiriki kusema, mayb kuliko hata wewe ni kosa la pili unafanya mzazi


Huo sio wakati wa kulia, Afanye jitihada kuidhihirishia mahakama kwamba she is innocent...Otherwise kama ye anajijua kweli ni mtoto na analia kutumia haki yake ya utoto kulia lia (Ambayo nadhani ni haki hata ya mzee kulia), Basi siku ya tukio alitakiwa awe nyumbani kwaooo anafanya Homework!


nadiriki kusema sina Huruma hata kidogo na uzembe uzembe wa haka kabinti....Na yanayoendelea sahivi ni halali kabisa katika maisha yake, and mayb nasema mayb through that way itamsaidia kubadisha mfumo mzima wa maisha aliyokua anaishi

Nawasilisha!
 
A bunch of fatuous nonsense. Who told you it's only kids that cry?

Her youthful indiscretions shouldn't be used to pass judgment on her.
 
hahaha c wa kwanza kulia mbona wengi wanaliaga tu. Sasa si ashafika mahakamani na kesi inaendelea kaa kimya uone kitakachojiri kuliko keleta hisia zako hapa.
Kweli bongo kila mtu ana fani zote kuanzia mziki mpaka uchungaji.
 
Mengine yooote tuwaachie mahakimu na mawakili, ila swala la kulia mbona kawaida? muulize pinda
 
Mengine yooote tuwaachie mahakimu na mawakili, ila swala la kulia mbona kawaida? muulize pinda

hata kajala alilia mahakamani! ni emotions tu za mtu, mi mwenyewe mume wangu akinipa dozi vizuri, machozi bwena kwa raha! ila ni upepo tu, unapita!
 
Kitandani ni kitandani na mahakamani ni mahakamani!akiwa kitandani ni mtu mzima ila mbele ya sheria anakuwa mtoto mdogo!...
 
beba kofia ya mzazi umejisikiaje ulipomuona yule mtoto analia jamani?

najiskia vizuri sana kuona kanajutia makosa atleast...I'm so proud na machozi yake...Huo uzazi wako wa kuwa na huruma zisizo na kichwa wala miguu zitasababisha mitoto yako iangukie uteja na uchangudoa
 
najiskia vizuri sana kuona kanajutia makosa atleast...I'm so proud na machozi yake...Huo uzazi wako wa kuwa na huruma zisizo na kichwa wala miguu zitasababisha mitoto yako iangukie uteja na uchangudoa
dua nzuri kweli umejiombea...na mungu akubariki kwa kila ulichojiombea
 
Wacha ulimwengu umfunze.

Wahenga hunena 'asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu'
na asiye sikia la mkuu huvunjika guu.

Naona amekipita alichokuwa anakitaka sasa anabweta na kulia kwa nin??
 
wacha ulimwengu umfunze.

Wahenga hunena 'asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu'
na asiye sikia la mkuu huvunjika guu.

Naona amekipita alichokuwa anakitaka sasa anabweta na kulia kwa nin??
pls uwe ingalao na tone la huruma
lulu anaitaji huruma
 
Back
Top Bottom