Kuhamisha phone book kwenye iPhone

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,361
17,909
Wadau naomba msaada wa kuhamisha namba simu kwenye iPhone kwenda simu nyingine
 
Wadau naomba msaada wa kuhamisha namba simu kwenye iPhone kwenda simu nyingine
Computer yako lazima uwe na itunes ili uitumie ku sychronise na outlook..then hiyo simu nyingine kama inasupport synchronisation utaiconnect kwenye pc suite yake na kuhamisha
 
Ikiwa simu yako ni Android na haikubaliani na outlook au unatumia Mac computer kuna njia nyingine, kwa hiyo ikiwa bado hujafanikiwa tafadhali ainisha aina ya simu unayotumia na OS ya kompyuta yako huenda tutaweza kukusaidia.
 
Back
Top Bottom