Kuhama chuo inawezekana?

ndupa

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
4,403
141
ivi inawezekana mtu kuama chuo kimoja na kwenda kingine kwa mwaka wa kwanza..mfano nimepangiwa mzumbe statistics au agri economics ya sua na nnataka kwenda bsc in maths UDOM au architecture ardhi..inawezekana?? kwa mwenye uelewa anisadie,,natanguliza shukran wana JF
 
Ila kaka kibongo bongo utasafa kweli. Me nshashuhudia watu kadhaa nnaowajua wakizungushwa adi wakakata tamaa.
 
Na kwa nini uhame? Ina maana unajaribisha fani hujui unapenda nini maishani? Tabia mbaya hiyo. Kaa chini uliza wazoefu kabla hujaamua utumikeje. Ukifanya ufikiriiavyo unaoa leo halafu kesho unataliki na kuoa mwingine kisha unataliki na ....... Nilipokuwa mdogo baba yangu aliniasa nifikiri kabla ya kuamua mambo magumu nisifuate upepo. Aliniambia mke wako wa kwanza ndie mkeo halisi, wengine ni photokopi, kwa sababu tabia ya kuwa popo haijengi kwa binadamu. Ukianza kutaliki utataliki sana. Mwalimu Nyerere alisema katabia ka ubaguzi na kutokuwa na msimamo ni sawa na kula nyama ya ntu. Ukimla asumani leo utaendelea tu kula wengine. Kwa hiyo ndugu yangu unahitaji counselling kabla hujaamulia carear yako. Utapoteza muda mwingi na kujikuta unastaafu hujatimiza ndoto halisi ya kwako. Leo Anglikana, kesho Katholic, keshokutwa Shia, halafu kesho Suni, halafu unarudi TAG halafu Pentekoste, mara kwa Kakobe mara kwa Mwingira, mpaka utajikuta mapepo tu yanakuingia na wale majamaa wa kanumba watakufuatilia, angalia Diamond anavyofuatiliwa sasa. Simama amua , nenda mbele. Ila ukiwa na kimoja hicho unaweza kujisomea fani za nyongeza maana ni ruksa kuongeza value.
 
Mimi nina swali hili, kwa mfano TCU wamekuchagua bachelor of education in special needs ya Udom then ndani ya iyo iyo Udnm ukataka kuchange na kusoma bachelor of education in policy planning and management je ilo linawezekana naomba jibu plz
 
Inawezekana mkuu ila wana tabia ya kuwazungusha weee hadi wengine wanakata tamaa. ila ukiwa mvumilivu unahama. Nna mifano hai kwa hili.
 
Inawezekana mkuu ila wana tabia ya kuwazungusha weee hadi wengine wanakata tamaa. ila ukiwa mvumilivu unahama. Nna mifano hai kwa hili.

asante mkuu kwa jibu nashukuru na ikitokea tcu wamenichagua ktk kozi nisiyoipenda nitahakikisha nabadilishiwa sitokata tamaa na je kuhusu mkopo taarifa atatoa mwanafunz au chuo husika?
 
asante mkuu kwa jibu nashukuru na ikitokea tcu wamenichagua ktk kozi nisiyoipenda nitahakikisha nabadilishiwa sitokata tamaa na je kuhusu mkopo taarifa atatoa mwanafunz au chuo husika?

Me mwenyewe ndo naingia sa ivi so am not sure kuhusu mkopo, ila 1 of ma relatives alikomaa hadi akahama. 2subiri wakuu wa2juze kuhusu mkopo
 
hiyo inawezekana ,ila kwa ss tcu inafanya utaratibu wa kuwa na grade sawa za ufaulu katika vyuo vikuu ili iwe rahisi kwa mtu kuhama chuo kimoja kwenda kingine kama hiyo proposal ikipita basi mambo yatawezekana......subiri tuone lakini kuna vyuo sidhani kama watakubali kwa urahisi...mf.SUA<MZUMBE>UD.....MUHIMBILI..n.k
 
Mkuu inaweza chukua muda gani na gharama kiasi gani??

Cha muhimu ni kukomaa mwanzoni mwanzoni hadi kieleweke.. mwanzoni wakiwa wa2 nyomi ndo wanabana kchz cz hawawez ruhusu wa2 weeeng wahame hame 2. mwsho wa cku wachache wanafanikiwa. Kuhusu mda daah.. c unajua bongo tena?? mambo hayatabirikagi.
 
ivi inawezekana mtu kuama chuo kimoja na kwenda kingine kwa mwaka wa kwanza..mfano nimepangiwa mzumbe statistics au agri economics ya sua na nnataka kwenda bsc in maths UDOM au architecture ardhi..inawezekana?? kwa mwenye uelewa anisadie,,natanguliza shukran wana JF

Kuhama chuo mdogo wangu ni sawa na kutaka kukimbia kivuri chako kama unabisha niulize mimi?
 
Kuhama chuo inawezekana. Kinachotakiwa ni kuwa unapohamia iwe program kama hiyo au inayokaribiana sana
 
Back
Top Bottom